Cement ya pakstani

Mm
Nani anaingiza au wakala wao mkuu wa cement hii, nahitaji mifuko mingi kwa wakati mmoja na kwa bei nzuri.

asante
nafanya kazi kwenye moja ya viwanda vy cement Tz..am note sure but kama sikosei serikali ilipiga total burn ya importation ya all raw material ya cement..mf haturuhusiwi kuimport clinker wala coal pia kumbuku..kuna cement ilikua inatoka parkistan kuna kigogo nasikia alifungua kiwanda huko ilikua inaitwa KILIMANJARO iliharibu sana soko la cement inchini..but baada ya kuingia serikali hii ya 5..ilifungiwa,yule kigogo akahamisha lile jina akalileta nchini na kubadili jina la Sungura cement hatimae likaitwa kilimanjaro..kiwanda kipo tanga
So kabl ya yote fanya utafiti..
Asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…