Za Arusha Mkuu??Upo sahihi kabisa. 4,000*1.25 = 5,000 na 5,000.00 * 1.18 = 5,900.00
Hapo usafiri ndiyo utakaoeleza bei ya mfuko iwaje ukitoa port charges, na claring agent cost.
Upo tayari kutoa tsh ngapi na mifuko mingapi???na ni aina gani hasa unayotaka???funguka ...sms +971504374387 kama upo serious tutafanya kazi
mnaotaka faida kubwa hivi hamjui ni dhambi!?tatizo la jf siku hizi hakuna thread inayoisha bila wanajf kadhaa kumtaja dr. Slaa.
Toeni ukungu huo kwenye akili zenu, uzi wa maana mnaanza kuingiza siasa.
Wakuu tupeni cost ya kuagiza mpaka dar, mi nahitaji mifuko 500 hivi
ADK said:he siasa tena
Tatizo la JF siku hizi hakuna thread inayoisha bila wanaJF kadhaa kumtaja Dr. Slaa.
Toeni ukungu huo kwenye akili zenu, uzi wa maana mnaanza kuingiza siasa.
Wakuu tupeni cost ya kuagiza mpaka Dar, mi nahitaji mifuko 500 hivi
Nchi hii siasa ndiyo inagusa nyanja zote za maisha ya mtanzania, angalia wenzetu Cement 4,000/= sisi 19,000/=. nani katuroga? Jibu ni Siasa na Ufisadi!
Upo sahihi kabisa. 4,000*1.25 = 5,000 na 5,000.00 * 1.18 = 5,900.00
Hapo usafiri ndiyo utakaoeleza bei ya mfuko iwaje ukitoa port charges, na claring agent cost.
Container kutoka Dubai na Dar 40ft halizidi $200. Issue ni je kwenye container la 40ft inaingia mifuko mingapi ya cement. Kama inaingia mifuko 1600 basi gharama za usafiri ni $2000/1600 = $1.25x 1650 = Tsh2,063
Kwa hiyo gharama zote ni
4000 + 2063= (6,063x1.25)x1.18 = 8,943
Port charges, agent fee, usafri kutoka bandarini na mizengwe mingine ya bandarini ~Tsh.2,500,000
Cost per bag = 2,500,000/1600 = 1,563
Jumla kuu 8,943 + 1563 = 10,506
Tsh 10,506 unakuwa na Cement yako Kimara, Mbweni au Bungu unajenga.
mkuu hebu funguka vizuri hayo mahesabu, manake kama vile hueleweki!
Nimeongea na mdau wangu SDV ameniambia kuwa container kutoka Dubai kuja Dar haizidi usd1500 kutoka Pakistani haizidi usd2000, kwenye kupakia mzigo hautakiwi uzidi tani 23 kwenye container,So ni bora kuwrka mzigo wote kwenye 20ft container sbb hata ukitumia 40ft uzito ni huohuo tu. Kwahiyo kutumoa 40Ft ni hasara. Ss hapo pigeni hesabu wadau . Mm naona ni uwezo wa mtu mmoja kuagiza bila kushea xontainer na mtu sbb itakuwa ji mifuko kama 460 kwenye container.
Kwa hesabu za haraka mpaka mfuko kutoka dubai mpaka dar mpk nyumbani au dukani ni mifuko 560+ usafiri 1730+
9440-8900 ushuru 530 ni hii. 10,530
ni TZS 15000 mpaka 19000 inategemea uko mkoa gani...