Rudia tena part ya ujumbe wako nloquote mwanzo, haiendani na ulichoandika hapa
Nitarudia, Umesema:
"People shouldn't suffer unless they are guilty of something. The degree they ll suffer depends much on the number of guilties than the magnitude of a single guilt"
Kwamba WATU HUTESEKA TU ENDAPO WAMEFANYA MAKOSA, NA MATESO YAO YANATEGEMEA IDADI YA MAKOSA YAO NA SIO KIWANGO CHA KOSA MOJA MOJA.
Hio statement na nilichokuuliza haviendani na jibu ulilotoa, unaenda nje ya mada, jibu swali au kubali kwamba ulichoquote ni impractical then tuendelee, na note pia sio kila kitu unachosoma kwenye philosophy ni ukweli, vingine ni half truths, vingine ni no truth na vingine ni lies kabisa na hayo yote huoneshwa kwa aidha kuwepo au kutokuwepo kwa real lufe facts. Na kwa kutambua hilo ndo maana nikakuchallenge na swali lenye fact, so na wewe nipe jibu linaloendana na swali ila liwe na fact