Celibacy . . .

mifano tafadhali

kissing, petting, intromission, sucking, palpating etc..

Haijalishi unafanya kwako au kwa mwingine, haijalishi sex ya unaemfanyia/anayekufanyia... kinachojali ni malengo...
 
 
okay.
Kama ishu ni lengo, basi iko kidini zaidi?

kissing, petting, intromission, sucking, palpating etc..

Haijalishi unafanya kwako au kwa mwingine, haijalishi sex ya unaemfanyia/anayekufanyia... kinachojali ni malengo...
 
hebu changia hapa kwanza, japo mawili matatu.

nilitaka nishangae, nilidhani Invisible karegister ID yangu huko sijui mnaita jukwaa gani kimakosa...... kumbe nipo uwanja wa nyumbani!
 
Last edited by a moderator:
okay.
Kama ishu ni lengo, basi iko kidini zaidi?

Nooo, namaanisha kuwa lengo liwe kufanya starehe (leisure), maana ukienda hospital, docta akakuingizia vidole ukeni kwa lengo la kufanya uchunguzi, haitahesabika kama kujamiiana..
 
kuna mbinu tatau za kujikinga na HIV moja kutumia kondom; mbili kuwa na mpenzi mmoja tu na tatu kuacha kabisa sex ( to abbstain) hili la tatu lahusiana na celibacy
 
nimetatuzika na hii mambo ya celibacy.

Nataka kujua do's and don'ts zake.
Ukishindwa na wewe niitie Mwali.


Do not eat another girl out.

Kisses need to be put into context. Can kiss and hold hands, but no genital contact directly, indirect or kikonakona.

As long as kisses aren't sexually loaded or intended for sexual purposes it's fine. Otherwise it's not.

Avoid lile jukwaa la kikubwa. Hata ukiwa MMU avoid reading sexual posts za kina Mwali, King'asti, etc.

Strictly no any sexual contact whether direct or indirectly.

That means no BJs, HJs, anal or vaginal, or anything in between those lines.

And if you are a voyeur you must stop right now!
 
mmh, okay.

Ngoja niendelee kutafakari.

Kwa hiyo ruksa kisses and holding hands? Interesting
kiswahili chake ndio useja?

 
Reactions: EMT
Kuna celibacy na chastity. Celibacy ni kutokuoa na kutofanya sex na yale yote yenye kuamusha sex. Mtu akiishi huo useja vizuri basi anakuwa kaishi pia chastity yaani usafi wa moyo. Chastity ni nidhamu inayotawala sexual drives. Hii inamgusa hata mtu wa ndoa. Chastity kwa watu wa ndoa inagusa uaminifu na matumizi sahihi ya tendo la ndoa.
 

Lakini nadhani traditionally celibacy ni tabia ya kujinyima kitu kwa kufuata vipimo fulani. Sema siku hizi imekuwa too much associated with with sex and religion. Huko zamani celibacy ilikuwa siyo limited tuu kwenye mambo ya sex or religion. Ilikuwa more secular.

Kwa mfano, wanasema kwamba mnamo karne wa 6th BC, Pythagoras aliunda jamii ambayo walikubaliana kusoma mara kwa mara at a very high level, kuwa vegetarian na kutojahimiana.

Wanasema enzi hizo celibacy ilikuwa inatumiwa sana na wanaume na ungeweza kuwatambua hao wanaume kwa maneno yao kama "that will do" na "that is about right".

Tatizo ni kwamba gone are the days when wanaume walikuwa wanaume wa ukweli for being able to estimate an eighth of an inch or more usually 3 sixteenths. Siku hizi badala ya kujikita kwenye "fine tolerances" everything is "just a little bit".

Wakati mwanaume anatoka home kwenda baa anapanga kabisa kuwa atakunywa bia mbili tuu lakini akifika pale anakunywa bia 6 na kuzishushia na nyama choma.

Simply no restraint au msimamo.
 
mmh, okay.

Ngoja niendelee kutafakari.

Kwa hiyo ruksa kisses and holding hands? Interesting
kiswahili chake ndio useja?

I wasn't serious kwenye hiyo post. Naichukulia celibacy kwa mapana zaidi.

Refer post 56 above.
 
Babuyao shikamoo.......
hili la chastity sikulijua kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah si hivyo bana mkuu, ila at sm point in my life ilikuwa niwe mtawa so nilikuwa napractise usafi wa moyo..............
What do you mean by several times?

Usikute ulikuwa unafanya hivyo kupisha Kwaresma? lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…