kishoreda
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 174
- 29
Penalt!
acheni masihara jamani si mnajua hatuna kipa kwenye penalt
Penalt!
mwape sasa anacheza mieleka sioni chochote anachofanya washabiki wa simba naona wanarusha mawe kwenye track kulee
Dakika 2 za nyongeza