Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ulinzi Stars wanapiga penati ya 9.......
Kapaishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kapaishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hivi inaruhusiwa?Mwishoe watarusha shilingi
mpaka wapaji waisheHivi inaruhusiwa?
El-Mereikh wametinga nusu fainali...
Ndio maana yake endapo mnyama atashinda!Kwa hiyo watacheza na Simba endapo watashinda (mnyama)??