Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Mropr pasi zake anazibutua tu......hazina macho
Kenneth Asamoah for Kigi Makassy(substitution)
Mmmh
Naona kama ndo anawapa nafasi wachezaji wapya na wala haleti mabadiliko ya kimchezo
dk ya ngapi?Yanga wakizubaa jamaa wanasawazisha muda si mrefu....
1. Yaw BerkoWaungwana hebu tupeni 1st eleven ikoje
dk ya ngapi?
Dk ya 76....
Yanga 2 Bunamwaya 2
Kocha kafanya makosa sana kufanya substitution isiyo na maana kwa kumtoa Shadrak Nsjigwa na kumuingiza Julius Mrope.....
Matokeo yakiwa hivi Yanga wanaenda nje ya mashindano.......