Cdm walilamba garasha kumpekea shibuda kwenye chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cdm walilamba garasha kumpekea shibuda kwenye chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, May 22, 2012.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kutokana na hali halisi ilivyo kati ya CDM na Shibuda, nahisi shibuda alikuwa garasha na hakumaanisha kutoka ccm, bali analikuwa na agenda ya siri kukiaribu chama.

  Kwa kuwa amesha mwaga simu kwa watu wengi, nawashauri viongozi wa CDM wampuuze na wawe makini na maamuzi yeyote wanayotaka kuchukua juu yake.

  Wamwache na wasimshirikishe katika shughuli za kichama, na ifikapo 2015, asipewe kugombea tena kwa ticket ya CDMa
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Anaharibu chama anaharibu chama, ameaharibu chama kivipi?
   
 3. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hivi u mgeni katka nchi hii ata usijue yanayoendelea?

  Ngoja niache, kunawatu watakuja kukupa majibu. ila usikasirike.
   
Loading...