CDM katika Mikoa ya Pwani, Moro, Dom, Singida na Tabora

Du Bois ideas

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
427
82
Wana JF,

Hebu naomba kujua uhai wa chama katika Mikoa hii mbona sisikii saana nguvu ya CDM katika mikoa hii. Kwa nini isifanyike jitihada ya hali na Mali katika kukiweka chama king'ae katika mikoa hii kama kanda ya ziwa Kaskazini na Nyanda za juu kusini?
 
Kimsingi umenena mkuu..bnafsi inaniumiza kuona hapa tabora (sikonge) chama hakieleweki,viongozi wapowapo tu,yaani it's worthless,

my take,
tunaomba viongozi wa juu wahamie huku hata kwa wiki1 hivi kitaeleweka,CUF ilishachoka huku..CCM ndo hvyo tena kwa hyo wanyamwezi wako so desparate,mie ni mfanyakazi wa umma kwahyo sijihusishi sana ila natumia muda na nguvu zangu nyingi sana kununua kuwapa hata gazeti(T.Daima, M.Halisi) ili walau wasome makala,G.Lema karibu huku jamani
 
Hapo unafanya vyema kaka. Chama bila kujitoa kwa mali zako pia hakiwezi kuendelea. Nilishasikia hata Nyerere alikuwa anatoa sehemu ya mshahara wake kujenga TANU. Endelea na myo hu siku moja mambo yatakuwa mazuri. Ila kwa viongozi wa CDM, ifanyieni kazi mikoa hii, kama Tabora ina watu wengi pia na wana Mori na Ukombozi, kinashokoseakana ni Uongozi Imara. Tufungeni buti jamani, tusikumbuke branketi asubuhi. 2015 iko karibu mno.
 
Back
Top Bottom