CDM inunue TV airtime kurusha mijadala ya mtandaoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM inunue TV airtime kurusha mijadala ya mtandaoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wa Mjengoni, Mar 14, 2011.

 1. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu ni ushauri tu na maoni yangu... Kwa kuwa kuna maoni mazuri mengi yatokanayo na mijadala ya mtandao wa JF jukwaa la siasa ikiwemo majibu sahihi ya vijembe mbalimbali vinavyopigwa kila leo na chama twawala, je sio busara CHADEMA kununua TV airtime kila wiki kuwe na kipindi '' Jukwaa la Siasa mtandaoni'', or whatever the case, ambapo sredi mbalimbali zinazogusa hisia za watu wengi zitachaguliwa na kuandikwa kwenye screen ya TV na wanakuwepo wasomaji wawili wakipokezana kusoma maoni ya wachangiaji mbalimbali wa sredi hiyo na baadaye kuruhusu wachangiaji wachache kwa simu kwenye sredi husika kuchangia. Nasema hivi kwa sababu hii itafanya Great thinkers wawafikie watu wengi zaidi kwani si wengi wanaoigia mtandaoni kila siku.
   
Loading...