CDF wa jeshi ni kitu kikikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max.
kwa mauwaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado unawezaje kujisema wa ni CDF.
Mimi sio mtabiri ila naiona tanzania kuwa sudani ya baadae ambayo wewe cdf na viongozi wenu mtakuwa mpo nchi mlizowekwa kufanya haya.
ingia hii link
Mauaji