CD ZA ELIMU.

Joined
Nov 25, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Habari wana Jukwaa la Elimu.
Naomba mwenye Hard Disk ( CD Au DVD) Za masuala ya Elimu, Hasa zenye Novels na Plays za Kidato cha 4, Kama vile THE BLACK HERMIT, THIS TIME TOMORROW, THREE SUITORS ONE HUSBAND..Etc. Nataka kununua kwa ajiri ya Project Zangu binafsi. Mwenye nazo Tuwasiliane au hata kama unajua Library yeyote Tz, yenye hizo CD, Tuwasiliane, Ntakulipa kwa kiasi ulichofanikisha mm Kuzipata.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using Tapatalk
 
Naitaji izo nilizomention, Novels na plays zA Form 4

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…