cd za ccm hazinunuliki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cd za ccm hazinunuliki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, Jun 19, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1 CD YA UKABILA
  2 CD YA UDINI
  3 CD YA UKANDA
  KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
  :bump:
  mungu ibariki tanzaniambinu hizi ni umaskini wa mawazo na hatari kwa taifa letu ccm haikubaliki na haitakubalika kamwe ,
  mungu ibariki tanzania.
   
 2. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Naskia wanalazimishaga kuzinunua kwa kila mbunge, huoni skuizi hawana point ni pumba tupu wakichangia bungeni ,. Point ya profesa na mtu wa darasa la pili hazina tofauti
   
Loading...