Habarini mafundi na wataalam wa hii zone
Nina dell c 610,old skull flani ila naipenda sana tatizo langu ni kwamba ilikuwa inafunction vizur sana na modern lakini kuna mtu sijui kafanye haiditect tena modern natamani kuiunganisha na wireless niwe hata kama nina smart phone nifanye tethering angalau niupdate ant virus......nawasilisha