CCTV installer...

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
54,840
119,909
Natafuta mtu wa kuweka cctv za majumbani, nje kuzunguka nyumba. Tuwasiliane.
 
naomba unitafute kwa namba 0714890018 . gharama inategemea na camera utakazochagua zipo kuanzia 95,000/- na kuendelea, pia vifaa vingine vinaendana na idadi ya camera kama dvr, hardisk. Nitakufanyia kazi nzuri na warranty ya mwaka mzima kwa vifaa vyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom