Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
- Thread starter
-
- #61
Jamiix!! Sawa mkuu labda sikukuelewa,ndio kwenye android&iphone katika store zao kuna appl ya hizo kamera ambapo kuna details itakuomba za kameraHaujajibu swali, otherwise na wewe hujui...., umeulizwa how does it work?, camera - Internet - gadget(simu, pda, PCD), mfano muunganiko wa camera na simu ni through a certain App ama!?, kua kwenye eneo lenye coverage ya Internet ni jambo moja, how can the camera access such signals and sends data to your mobile device!?, does it need a SIM card!?
Tsh.150,000/= ila bei nimeiandika labda kama hujasoma mpaka mwisho
Zipo piece ngapi hv labda.Tsh.150,000/= ila bei nimeiandika labda kama hujasoma mpaka mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Burton86jm naona hujatolea maelezo swali hiliNapenda hii kifaa ila tatizo langu ni guarantee tu....je wewe unayefanya hii biashara ni mtu binafsi au ni kampuni? Nikinunua nikitegemea angalau kifaa kidumu angalau zaidi ya mwaka mzima halafu kikabuma ndani ya miezi mitatu au miwili ntakupataje?
Ofisi yako specifically iko wapi ambako atleast kifaa kikisumbua niwe na eneo ambalo naweza kurudisha kifaa hicho?
Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia WLNABei ni reasonable, japo naiona changamoto ya kununua bando mara 2:
Jambo hili lazima wateja waeleweshwe vizuri maana lina gharama kubwa zinazojirudia. Wanaswa waeleweshwe kuwa atahitaji kutumia simu pale kunapokuwa na dharura au jambo la muhimu, la sivyo matukio yote yatahifadhiwa ktk memory,flash, etc. Jambo la msingi ni kwamba bando 2 zinahusika. Huwezi kuona kitu kwenye simu kama hakikutumwa kwanza mtandaoni. Na pia kukiona unahitaji mtandao. Ama sivyo ukitaka kutumia bado moja kwa kila kitu, basi usiende mbali na pale unaporekodi ili mtandao unaotumika kutuma utumike na kufungua.
- Unanunua bando ya kuunganisha Kamera na Mtandao ili video ziweze kutumwa mtandaoni
- Unanunua bando la kutoa video mtandaoni na kuleta kwenye simu.
Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia Wired Network Router yao!Bei ni reasonable, japo naiona changamoto ya kununua bando mara 2:
Jambo hili lazima wateja waeleweshwe vizuri maana lina gharama kubwa zinazojirudia. Wanaswa waeleweshwe kuwa atahitaji kutumia simu pale kunapokuwa na dharura au jambo la muhimu, la sivyo matukio yote yatahifadhiwa ktk memory,flash, etc. Jambo la msingi ni kwamba bando 2 zinahusika. Huwezi kuona kitu kwenye simu kama hakikutumwa kwanza mtandaoni. Na pia kukiona unahitaji mtandao. Ama sivyo ukitaka kutumia bado moja kwa kila kitu, basi usiende mbali na pale unaporekodi ili mtandao unaotumika kutuma utumike na kufungua.
- Unanunua bando ya kuunganisha Kamera na Mtandao ili video ziweze kutumwa mtandaoni
- Unanunua bando la kutoa video mtandaoni na kuleta kwenye simu.
TTCL wanajaribu kuvuta wateja, hivyo lazima wawe na bei rahisi. Cha msingi ni kwamba unalipia bando kupitia connection(line) 2 tofauti na hapo ndo penye gharama.Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia WLNA
Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia Wired Network Router yao!
Au bando lipi ni nafuu zaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtego wa noti samahani mkuu,sikuona swali hili.Mie ni mtu binafsi sio kampuni,mjasiria mali mdogo ambae bado natumia mitandao ya kijamii kama platform kibiashara tu kwa bidhaa tofauti tofauti zinazousiana na Audio & Video,upatikanaji wangu kwasasa nipo Mkoa wa Katavi kikazi ila makazi Mbeya,Bidhaa zangu unazipata Tanzania nzima kwa kumtumia mtu nae muamini katika mkoa uliopo ambae atakupa na utamlipa bei kifaa/vifaa ulivyooda,upande wa guarentee sina ila sio kuamanisha bidhaa ni mbovu maana nimeuza hizi camera huu mwezi wa nne kiukweli sijapata malalamiko toka kwa wateja wangu hata mmoja kwamba imeleta itilafu,pia hata kama itatokea imeleta itilafu tapenda kujua imekufa kwasababu ipi??...sio iwe hata short ya umeme kwako imeungua haiwaki unataka urudishe?,sijui kama umejibu sahihi? ila ndio hivyoMkuu Burton86jm naona hujatolea maelezo swali hili