Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Hapana ina tumia TF cardInatumia sim card? Bei gani? Inapatikana wapi? Zipo sokoni au kwenye majaribio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wabongo hawapendi kusoma ,taarifa yako ina kila kitu sema maelezo yamekuwa mengi.
Mh!..detailsImefanyaje sasa? Umeileta tu ili tuione? Au unauza? Au unaitafuta?
DetailsMkuu umekurupushwa? Hujaweka maelezo tosha. Unapatikana wapi? Contacts zako? Unauza? Unatafuta ununue?
Kiukweli nimezipenda na bei ni nzuri.
Lkn sijaelewa hiyo access ya inernet inapatikana vp eneo la kamera na simu yangu.
Hebu toa maelezo hapo
Ndio kwa simu yako tu! Natuma video yake hapa utaionaPia inaweza kuizungusha hats ukiwa mbali
Ndio mkuu,kwa simu yako kwa kugusa kioo tu,naweka video hapa utaona
Upande wa internet inatakiwa eneo hilo unalofungia camera kuwe na access ya internet yaani Wireless ambapo camera itapokea na ndio itakuwa inatumia hapo,wewe ukiwa mbali utatumia kifurushi cha internet kama tunavyotumia kwenye simu zetu,utakuwa unastream eneo ulilofungia camera.Kiukweli nimezipenda na bei ni nzuri.
Lkn sijaelewa hiyo access ya inernet inapatikana vp eneo la kamera na simu yangu.
Hebu toa maelezo hapo
Ni kweli samahani,nilikuwa nje ya mji lakini nimekuta notification za missed calls na nimezipigia namba zote nahisi tutakuwa tayari tumeongea.