wakubwa nimeshatuma kama mara tatu hivi so kama kuna ambao tayari walishanyonya basi tusaidiane wazee kuwatumia wenine,Nilichogundua kuwa wabongo wengi tuna uchoyo wa Elimu ndio hata maana maprof huwa wanabania watu ili wasiongezeke.'
Kumbuka utashindana namtu kwa nini unajua sio nini unacho wazee,kama upo Tz si unaweza hata ukaburn then ukampa mtu? kama upo abroad Internet ni bei chee so unaweza kumtumia mtu kwenye e mail.MCDBA kaka Buswelu amesikia maombi yako na atakutumia.
Kwa leo...