GarageRules
Member
- Aug 8, 2008
- 26
- 0
Wakubwa,lile faili la wireless toka learnkey ni kubwa mno,nililiupload nikakuta server unreachable,ni kama 4GB,so ninafikiria njia ya kuwafikia wahusika,hivyo nitaireplace na Tutorial za CCNA toka Learnkey,hizi ndio tutorial zilizonifanya niipende Networking kwani jamaa anaweza kufundisha na huna haja ya kwenda Center yoyote ili kufaulu CCNA,Ninakuhakikishia hili,CCNA haihitaji practical zozote kubwa sana wakuu so baada ya kudownload hizi tutorial then ukakaa chini utakuja kuniambia.
Kwa waliojaribu kudownload CCNP je mulifanikiwa?
Nilianza na CCNP kwakuwa nimeona CCNA kwa wabongo wengi ni common,so nikaamua kuwaamsha kidogo kwa CCNP,ni mambo ya CC,haha.
NIkiupload nitawastua wakuu
Wakubwa kama nilivyoahidi kuwa sitokuwamchoyo wa material kwani mimi nina imani watu tunashindani kwa nini unajua bali si nini unacho,si unakumbuka maprof wa kibongo wana usemi tukimpa kila mtu uprof si tutajazana.
Baada ya porojo,nina tutorial mwanana mno,naweza sema among the best za kuanzia CCNA hadi CCNP,ukiwa na hizi pamoja na muda basi wewe unachozubiri ni kuwa geek tu,nadhani watu wa SQL mutalikubali hili.
Kama kawaida ya rule of the game,tuma maombi yako kwa robot08@qq.com,ila kwa kila file ninalotuma litakaa hewani kwa wiki,baada ya hapo tutasameheana kwani ninatumia server ninayohostia website yangu,
Penye nia Pana Njia
Kuhusu Computer Forensic, hapa shule kuisomea lazima back ground check yako iangaliwe na wazee wa kazi, hivyo ukiwa na masoooo hivi utaisikia kwa mbali sana, na wanafunzi wengi nawaona pale ni police.
Kilongwe Nimesha-download za CCNA nikitaka kuview/read kuna software gani natumia?
Aiisi Kilongwe ni mtu swafi sana maana miezi kama 5 iliyopita pia alinitoa kiana na mkubwa wangu kule us.
aisii nilikuwa buzz sikuona hii ofa yako kaka yangu unaweza nisukumia hiyo ccnp email yangu ni ile ile kama umesahau ni mkamap@yahoo.com.