Good idea bro,unaonaje kama ukiweka hapa JF tukanyonya from here si unajua mambo ya Identity mkuu.Wakubwa kama nilivyoahidi kuwa sitokuwamchoyo wa material kwani mimi nina imani watu tunashindani kwa nini unajua bali si nini unacho,si unakumbuka maprof wa kibongo wana usemi tukimpa kila mtu uprof si tutajazana.
Baada ya porojo,nina tutorial mwanana mno,naweza sema among the best za kuanzia CCNA hadi CCNP,ukiwa na hizi pamoja na muda basi wewe unachozubiri ni kuwa geek tu,nadhani watu wa SQL mutalikubali hili.
Kama kawaida ya rule of the game,tuma maombi yako kwa robot08@qq.com,ila kwa kila file ninalotuma litakaa hewani kwa wiki,baada ya hapo tutasameheana kwani ninatumia server ninayohostia website yangu,
Penye nia Pana Njia
Please nitumie kupitia email ile ile.Good idea bro,unaonaje kama ukiweka hapa JF tukanyonya from here si unajua mambo ya Identity mkuu.
Pa1 mkuu haya mambo mageni u know what i mean.......Nilikuwa na ID mbili nikawa nasahau password nikaona isiwe taabu natumia moja tu.MKuu haiwezekani kuiweka hapa kwani ka mfano faili moja huwa ni kama 1GB sasa si utafanya link yenyewe yote iwe down mkuu,na vlevle kwenye forum huwezi kuwapa watu riksa ya kuweka vitu vikubwa mno,kwa mfano mimi kwenye forum zote ambazo huwa ninazidesign au kuzimanage huwa naweka max ni 1.5MB,utanipata hapo.
Kuhusu identity,kwakuwa wanaohitaji ni watu wa IT,basi unaweza tumia proxy ili ufiche IP yako kimtindo,by the way sisi watu wa IT huwaga hatupigi sana ngenga,
Ushauri,unaweza ukawa na ID mbili,moja ni ya kazi na moja ni ya kupigia ngenga ambayo hutotaka mtu aijue,ushauri tu wakuu.
La msingi mabalo bado ninalifanyia kazi ni kuwa na website ya KISWAHILI ambayo itakuwa ni source ya info,huku china website za material zote ni kichina 100%,hukuti ngeli,na zinakuwa zimelindwa kinoma tena serikali inajua,
Watu wa IT jamani tufikirie njia ya kulitatua hili kama halipo kwani inawezekanakuna website kama hiyo ila mimi sifahamu,nakumbuka kuna mwalimu wangu aliwahi kuniambia 你要做黑客应该算了你的生活。
wale wote walionitumia e mails zao,CCNP full sylabus(BSCI,BCMSN,ONT&QoS na ISCW ),2008 edition toka Nuggets itakuwa hewani baada ya kama saa moja,baada ya wiki moja nitalifuta hilo file,then kesho nitawamwagia mambo ya CCIE toka IP Expert.
Penye nia pana njia.
Mkuu Kilongwe Heshima mbele, then naomba nitumie hizo nondos kwenye mmfukoguru@hotmail.com, Please ntashukuru sana.
Wakubwa kama nilivyoahidi kuwa sitokuwamchoyo wa material kwani mimi nina imani watu tunashindani kwa nini unajua bali si nini unacho,si unakumbuka maprof wa kibongo wana usemi tukimpa kila mtu uprof si tutajazana.
Baada ya porojo,nina tutorial mwanana mno,naweza sema among the best za kuanzia CCNA hadi CCNP,ukiwa na hizi pamoja na muda basi wewe unachozubiri ni kuwa geek tu,nadhani watu wa SQL mutalikubali hili.
Kama kawaida ya rule of the game,tuma maombi yako kwa robot08@qq.com,ila kwa kila file ninalotuma litakaa hewani kwa wiki,baada ya hapo tutasameheana kwani ninatumia server ninayohostia website yangu,
Penye nia Pana Njia
Kilongwe,
Unaonaje uki-burn hizo studying material kwenye CD au DVD ukawatumia wanafunzi kadhaa walioko kwenye vyuo? It will be cheaper to pay someone 5000 so that she can make you a copy, than to download it from the net.
Ukiwatumia copy baadhi ya member humu nao wapeane copy, sidhani kutakuwa na utata.
What do you think?
Kutuma inawezekanika ila utata unakuja kwenye Bank yetu ya posta,kwa kutumia DHl kidogo gharama inakuwa kubwa kwa huku ambapo itanilazimu nitumie kitu si chini ya dola mia kadhaa kwa kilo kadhaa,na ikumbukwe ni watu wengi mno wanahitaji.huo ndio utata.By the way nataka kusema sorry for my empty promise kwani nilipromise jana CCNP itakuwa hewani lakini sikufanya hivyo,hii ni kutokana nilishikwa na mimbonji kiaina.Sasa ndio naupload,baada ya dakika 24 watu wote watafaidi.
Aksante sana mkuu, kwa moyo wa kutaka kuwaendeleza watu wa jamii yako tz. naomba unirushie hayo material yote. hata mie nikifanikiwa kuyapata naweza kuyaweka kwenye dvd ili waliopo bongo wazipate kwa urahisi
nitumie kwenye " panganitanga@gmail.com.
big up sana bro!!!