Ccm wanaona maslahi yao yanakua hatarini ndo maana wanaweweseka na hii inawapa nguvu Ccm kutokana na kutotumia akili kwa hawa Uamsho na maalimu katika kudai zanzibar huru..Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa hili ccm wameonyesha uzalendo kwa maslahi mapana kwa zanzibar! Uamsho wana lengo la kuivuruga zanzibar kwa mgongo wa dini!
Ccm wanaona maslahi yao yanakua hatarini ndo maana wanaweweseka na hii inawapa nguvu Ccm kutokana na kutotumia akili kwa hawa Uamsho na maalimu katika kudai zanzibar huru..
Kwanza uamsho lengo lao halikua dini hivyo wangesajili hii jumuiya kama ya uelimishaji masuala ya Zanziba na Misaa kwa Wazanziba alafu ndo wakinukushe bila kuchoma makanisa wala kukashifu ukristo maana ndipo wanapokwamia na hakuna atakayewavumilia hata kama watatendewa nini...
Tena kama wasingechoma makanisa hata mimi nilikua nipo tayari kwenda kupitia Tanga nikapambane na Ccm hadi muungano uvunjike pale Zenj maana hakuna anayetaka muungano ili Ccm na serikali yake ndo inaung'ang'ania tena bila kujali malalamiko ya wahusika
........
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa hili ccm wameonyesha uzalendo kwa maslahi mapana kwa zanzibar! Uamsho wana lengo la kuivuruga zanzibar kwa mgongo wa dini!
ccm wanaona maslahi yao yanakua hatarini ndo maana wanaweweseka na hii inawapa nguvu ccm kutokana na kutotumia akili kwa hawa uamsho na maalimu katika kudai zanzibar huru..
Kwanza uamsho lengo lao halikua dini hivyo wangesajili hii jumuiya kama ya uelimishaji masuala ya zanziba na misaa kwa wazanziba alafu ndo wakinukushe bila kuchoma makanisa wala kukashifu ukristo maana ndipo wanapokwamia na hakuna atakayewavumilia hata kama watatendewa nini...
Tena kama wasingechoma makanisa hata mimi nilikua nipo tayari kwenda kupitia tanga nikapambane na ccm hadi muungano uvunjike pale zenj maana hakuna anayetaka muungano ili ccm na serikali yake ndo inaung'ang'ania tena bila kujali malalamiko ya wahusika
......
Acha maswali ya kitoto wewe.Dini gani?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa hili ccm wameonyesha uzalendo kwa maslahi mapana kwa zanzibar! Uamsho wana lengo la kuivuruga zanzibar kwa mgongo wa dini!....
Aliyemfuta maalim uanachama wa CCM alikuwa kawaza mbali sana. Nadhani sasa mnaona madhara ya maalim. Alikuwa na njaa, sasa kala kavimbiwa anaanza kubeua.......
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimeitaka serikali ya Mapinduzi kuifuta mara moja Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kwa kuwa inafanya kazi kinyume na malengo yake usajili.
Mbali na matusi ya nguoni na kumshutumu Maalim Seif kwamba anahusika na kundi la Uamsho walisema Maalim Seif hafai kuwa kiongozi kutokana na kuwa mbinafsi kwa kuwa ameisema serikali yake mbele ya viongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kuwaeleza kwamba jeshi la polisi na vikosi vya SMZ vinahitaji mafunzo ya kukabiliana na vurugu ili waweze kupata mafunzo ya kukabiliana na vurugu hizo bila ya kuvunja haki za binaadamu.
"Huyu Maalim Seif anawaambia UNDP kwamba jeshi letu la polisi linahitaji mafunzo ya kuwakamata wahalifu sisi tunamwambia polisi wetu na vikosi vyetu havihitaji mafunzo wewe ndio unahitaji mafunzo kwa sababu kwani wewe unalindwa na nani? Si hawa hawa polisi" alisema Khalifa."
Another Somalia.
Zanzibar ina dini moja inakuwaje wanatofautiana na kutaka kuingia vitani?
UislamDini gani?