CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

Chama cha kidijitaki CCM, hongera sana
 
Iyo kadi ya akina dabaya, makonda na JPM imejaa damu za watu akina azory gwanda, kangoye, saa8 waliouwawa chini ya baraka ya jambazi JPM mliofuraia walipochinjwa na miili yao kutoswa baharini na kisha kuokotwa koko beach.
Tena
 
CCM juuuuuuu
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Wonderful CCM
 
Wonderful CCM
chadema will always be a threat....baada ya chadema kuanzisha digital system, threat ikawajia act wazalendo na ccm. and now you are following chadema's strategy. Mkiambiwa ccm hakuna thinkers mnaaanza kumwaga matusi.

kama hivi ambavyo utanitukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…