View attachment 2108792
===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|01|2022 amezindua mfumo mpya wa kadi za kielekroniki,
Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa kukosa wanachama huenda Watanzania wengi waliisubiri hii " CCM Digital Cards yaani " CDC "
HONGERA SANA CCM-TANZANIA