CCM yawawekea dhamana vijana wa Dar waliofanya fujo Singida

Haya ndio Maswali mazuri ya kumuuliza Mh. NAPE NNAUYE aliyeweka HABARI ZAKE FACEBOOK kuwa CHADEMA IMEUA

Na Mwengulu Mchemba kwa Kuokota Majambazi kuwasafirisha hadi SINGIDA

CCM - Lazima wawe responsible na UCHAFU WANOFANYA na ndio VIJANA KIKWETE ANATAKA WAONGOZE NCHI???

Kwani mkulu mwenyewe si anafuga majambazi?
Kwani yule jamaa aliyeplan kukamatwa na kuteswa kwa Dr Uli alitokea wapi??
 
Cyo mtabiri ila akisimama kitila mkumbo simwoni mchumi akirejea mjengoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom