KASHISHI WATER
Member
- Mar 15, 2011
- 8
- 0
sio wasomi wajameni hata kusema ukweli ndani ya CCM ni kutafuta kupelekwa mgombani(kifo) ref HORACE KOLIMBA[/QUOT
Kama ni msomi kubali kunyenyekea uingizwe kwenye mtandao.....vinginevyo ondoka fasta....
Katika haili isiyo ya kawaida katika semina ya watendaji ndani ya chama hicho wakati wa maswali katibu mmoja alisema vijana wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali walioajiriwa na chama hicho wamekuwa wakiwatishia makatibu wao kutokana na elimu zao na hawakisaidii chama.
Katika majibu yake naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba akitoa takwimu ya makatibu wapya 26 walioajiriwa hivi karibuni kwamba kati ya hao wote mwenye digree ni mmoja tu na ukumbi mzima ukashangilia hata katibu wa mkoa huo comrade Ngubiagai aliponyoosha mkono apate nafasi ya kuchangia hakupewa nafasi mpaka kikao kinaisha.
Katika majumuisho ya katibu mkuu Kinana amesema wasomi hawafai kabisa. Cha kujiuliza ndugu Kinana baada ya kupata ukatibu mkuu leo amesahau umuhimu wa vijana wasomi ndani ya chama wakati alikuwa mlezi wa vyuo vikuu Dar.
Kweli CCM imefika mwisho.
Source ya hii taarifa ni wapi?

Hivi inakuaje mtu msomi na mwenye akili timamu anakuwa mwanachama wa CCM?
Haiwezekani!!! unaweza kuwa msomi na ukawa huna akili, mbona wengi wamesoma na hawana akili. Jiulize wangapi umesoma nao wamepata Degree na unawajua hawana akili, ndo hao wako ccm.