CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

CCM ni matapeli na majingili, hasa toka Mwl. Nyerere alipoondoka. CCM ndilo genge kubwa la kimafia kusini mwa Afrika.[/QUOTE
PHP:
]

Mkuu hapo umeniacha hoi, ila nakubaliana nawe kimoyomoyo, hahaaaaaaa.
 
Heshima Mkuu. Hapo kwenye red labda kama unataka kujenga kanadharia fulani tu lakini kimsingi hiyo kitu haipo kabisa!
 
CCM wasiwe wanafiki kiasi hicho, kwani hawakuweza weka hadharani madai hayo tangu awali kesi inafunguliwa..mbona viongozi wao wajuu wanajivunia sana kuchukua vitongoji na mitaa iliyokuwa ikishikiliwa awali na CDM..!
Waache unafiki kabisa...imekula kwao...na tunahitaji tuone nguvu ya mahakama katika kufatilia hilo...walipe hao...!
 
hata mbunge wa bumbuli alimtumia ujumbe lema aliposhindwa eti kesi ilikuwa lazima lema ashindwe, kweli ccm ina viazi...
 
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.

Hii ni habari nzuri sana kwangu,tena wanatakiwa walipe haraka sana.
 
Ukiona kobe yupo juu mtini jua kabebwa,kwa hiyo kushuka inabidi aangukie mgongo,au abakie huko huko afe na njaa na au mwisho hao waliompeleka juu mtini ndio watakao mshusha chini.
 
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.

ndio zao ccm wanawatumia watu kama condomu
 
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.

kwani mahakama imesema walipe sh ngap
 
Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?

lengo chadema si kupata faida bali nikuwakomboa wananchi kutoka katika utumwa wa gamba ccm,gamba linalofilisi wananchi kwa ufisadi wake
 
Safi sana!!! Hili ni fundisho kwa wenye ushabiki wa kijinga badala ya kufanya kazi waondoe umaskini wao wanashabikia siasa kijinga!!Fundisho!!!
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
 
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Kudadadeki! Unaposema utakufa na ccm kwa kuwa ati wewe ni ccm damu, sasa unaweza kujua kwamba unatakiwa kuwa msanii sana kama ccm wenyewe, maana kama ccm iliwapongeza waliomdondosha Lema kwa kuwa makada wenye uchungu na chama chao, sasa vipi tena ccm hiyohiyo inasema haikuwa na mashaka na ushindi wa Lema? CCM wasanii sana bana, ukiifanyia kazi ccm kifokikikujia kazini unakufa peke yako na ukoo wako, ccm yenyewe inakusaidia sanasana kuchimba kaburi la kukuzikia.
 
Hivi hawa hawa makada wa Chama Chetu wakiamua kiamia CDM ili wasamehewe kulipa hizo gharama watapokelewa bila masharti yoyote?
 
Ukiona kobe yupo juu mtini jua kabebwa,kwa hiyo kushuka inabidi aangukie mgongo,au abakie huko huko afe na njaa na au mwisho hao waliompeleka juu mtini ndio watakao mshusha chini.

Wewe ni mkali!!! Hii maneno ni nzito. Kukitokea mafuriko kobe anaweza kusombwa na maji akatolewa juu ya mti na ikawa salama yake. ''Anything is possible under the sun''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…