CCM yawageukia Chenge, mawaziri yawataka watoe ushirikiano kwa vyombo vya dola

Ni ajali ya kibiashara
 
Wananchi gani wenye hasira nao?
 
Kutoguswa kwa mkapa na kikwete ndiyo kinga itawasaidia wote kwani kila atakayehojiwa atasema alitumwa na hao hao Marais wasitaafu.
 
Eej Mwenyezi Mungu,kwa nini umeruhusu watufanye hivi hawa CCM?kama ni mapenzi yako,tunashukuru,kama la,tunakuomba mtakatifu Mungu ufanye Jambo kunusuru nchi hii!Amin
 
Watoe ushirikiano gani tena? Wao walishatoa ushirikiano mzuri tu kwa maboss wao waliowaagiza kusaini hiyo mikataba. Sasa hivi wanaotakiwa kutoa ushirikiano ni hao maboss waliowatuma. Waseme tu ukweli kwamba akina Chenge walikuwa wanafanya kazi waliyowatuma, na hadithi itaishia hapo kwa kuwa mkulu ameshasema.wazi kwamba hao maboss waachwe wapumzike, wamefanya kazi kubwa sana iliyotukuka kwa nji hii.
 
Nyoka wa makengeza hakamatiki kirahisi tusidanganyane nani wa kumkamata chenge !!!?
 
Kuna Wajanja wameanza kujipitisha kwa watuhumiwa kuomba Rushwa wakiwatisha kuwa Baba Jesca anataka Wafungwe baada ya mahojiano ndiyo maana Chenge kaamua kuanika Msimamo wake mapema maana hataki kwenda kuombwa Rushwa.
 
Polepole anataka kucheza ngoma asiyoijua, bora wakae kimya wamuache Rais kazi yake, miluzi mingi................
 
Mkuu umenichekesha sana jnsi ulivyomalizia hoja yako hapo mwishoni
 
Kutoguswa kwa mkapa na kikwete ndiyo kinga itawasaidia wote kwani kila atakayehojiwa atasema alitumwa na hao hao Marais wasitaafu.
As simple as that

Jibu rahisi tu

Nlipewa maelekezo na mhe Jk au Mh Ben
 
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.

By Chenge
 
Fisi ni mlafi sana wa nyama lakini hawezi kula mkia/ kiungo chake...ref. kampeni ya kujivua gamba
Kujivua gamba CCM walifanikiwa kiasi kwa sababu lile gamba gumu kuliko yote lilikatwa kinyanganyiro cha Urais na baadaye likahamia chama kilichojinasibu VUA GAMBA, VAA GWANDA LA CHADEMA
 
Kwa hiyo mkuu wewe ukisikia kuwadhuru unachoelewa ni mauaji tu? manake mimi sijaongelea mauaji hapo.
 
Wananchi gani wenye hasira nao?
Waqnanchi wanaochukia ufisadi, kama wananchi wamefurahia na kuunga mkono mapendekezo ya tume kwamba wachukuliwe hatua,ni wazi kwamba wana hasira nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…