Hili ni muhimu kwa namna kama mbili hiviInatakiwa wakamatwe na kuwekwa ndani ndiyo waanze kuhojiwa kama inavyofanyikaga kwa watuhumiwa wengine
Sasa kuwataka watoe ushirikiano ndo wamegeukwaje sasa?
We jamaa umekuwa mjinga siku hizi sijui ni hizo vumbi
Mawazo mfu. Mnacheza na maisha ya watu ninyi, Mungu anawaona. Uwaweke ndani kwa kosa lipi hasa? JPM ameonyesha njia, wengi waliohusika hawajatajwa. Huwezi kuangamiza mchwa bila kushughulika na malkia. Kazi nzuri hii ya JPM itaharibika kwa kubangaika na chenge, tukomae na barrick ndio kwenye manufaa.Hili ni muhimu kwa namna kama mbili hivi
mosi;wasje wakatoroka,pili kwa usalama wao,manake kwa tuhuma walizonazo naona kama wananchi wana hasira nao sana huko mtaani na pia kuna uwezekano mmoja wao ana ushahidi wa kuwaimplicate wengine wasiomo hao wasiomo wakaplan jambo baya kwa mtu kama huyo, mfano kama mimi kwa sasa sijatajwa na ninajua kuwa mtuhumiwa flani "x" iwapo atahojiwa itakuwa si salama kwangu naweza kushawishika kumdhuru ili asihojiwe,nadhani hawa jamaa kwa sasa ni watu muhimu sana kwa hiyo wanastahili ulinzi mkali,kwa kuwa ni ngumu kuwapa ulinzi mkali mmoja mmoja huku kila mtu yuko kwake wangewekwa sehem moja tulivu na salama (behind the bars and walls) ili wawe salama.
hiyo ndio maana yake,ukiitwa uende na wadhamini kabisa.Inatakiwa wakamatwe na kuwekwa ndani ndiyo waanze kuhojiwa kama inavyofanyikaga kwa watuhumiwa wengine
Amri zote zilitolewa na Mkapa na kikwete iweje waandamwe ambao walipokea Amri zao, kama wanataka kuendelea kuwahukumu watu kienyeji wajiandae kukabili hali zoteDar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya pili iliyochunguza makontena 277 ya mchanga wa madini, kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola vitakavyowahoji.
View attachment 524440
Waliotajwa katika ripoti ya pili ni aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Andrew Chenge, waliokuwa mawaziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, Profesa Sospeter Muhongo na na Nazir Karamagi.
Akizungumza na wanahabari leo (Alhamisi) katika ofisi za Lumumba, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema ili vyombo vya dola viweze kufanya kazi yake kwa haraka na ufanisi, waliotajwa wanapaswa kutoa ushirikiano.
Polepole amesema chama hicho chenye Serikali kinaviagiza vyombo vya dola kuwahoji waliohusika kwa haraka ili Watanzania wajue ukweli wa yaliyotokea.
Amempongeza Rais John Magufuli kwa kuthubutu kudai rasilimali ambazo zimekuwa zikiibiwa.
Pia, amewataka wananchi kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kazi anayoifanya badala ya kugawanyika.
Chanzo: Mwananchi
Ulinzi gani wapewe? Kwani mtu akiamua kuwaua ulinzi hauwezi kuzuia mauaji yao kule kibiti polisi waliuawa wakiwa na bunduki zao hata kule Uganda msemaji wa Polisi aliuawa na walinzi wake , cha Msingi ni kuwahoji Mkapa na kikwete pekee kwani wao ndiyo walikuwa wakitoa Amri wanapokea na kutekeleza.Hili ni muhimu kwa namna kama mbili hivi
mosi;wasje wakatoroka,pili kwa usalama wao,manake kwa tuhuma walizonazo naona kama wananchi wana hasira nao sana huko mtaani na pia kuna uwezekano mmoja wao ana ushahidi wa kuwaimplicate wengine wasiomo hao wasiomo wakaplan jambo baya kwa mtu kama huyo, mfano kama mimi kwa sasa sijatajwa na ninajua kuwa mtuhumiwa flani "x" iwapo atahojiwa itakuwa si salama kwangu naweza kushawishika kumdhuru ili asihojiwe,nadhani hawa jamaa kwa sasa ni watu muhimu sana kwa hiyo wanastahili ulinzi mkali,kwa kuwa ni ngumu kuwapa ulinzi mkali mmoja mmoja huku kila mtu yuko kwake wangewekwa sehem moja tulivu na salama (behind the bars and walls) ili wawe salama.
Hakuna wa kumhoji may be wafanye maigizo , mbona kamati ya maadili aliigomea kuwa haina mamlaka na ika-surender (kuhusu escrow)Chenge ni chuma cha reli! Mnasemaga hivyo hata akitaka uspika mtasema Ndiyoooooo! Huyu ana akili kuwazidi wote CCM! Atahojiwa na kuachwa alivyo! Subirini!
Sio biashara,ni hadithi ndipo inapoishiawaende tu maana majibu watakayojibu ni rahisi
wote watajibu walitekeleza maamuzi ya mabosi wao
wakienda kwa mabosi wameshaambiwa wasiguswe waachwe walale usingizi na biashara inaishia hapo hapo