Namuonea huruma sana mume wako...atakuwa anapata tabu sanaWakati mwingine hata kukujibu haisaidii! ukishakuwa poyoyo ni poyoyo tu!!
Ungekuwepo Ingua ungeona wamenufaika vp!Nasikitika sana kuona unaongea maneno ya kijinga kama hayo,wana Igunga wamefaidika kwa lipi?fikiria mara 2 zaidi usikurupuke.
pole...natamani ungenijuammmh! tukiwa na watanzania 2 kama wewe kwenye serikali yetu, tumekwisha!.
nina maashaka na uelewa wako kiakili, umeishia kidato gani mkuu? kama umepita chuo basi ulikuw amdesaji mkubwa na ukaambulia makarai
hatutakaa tuendelee hata mataifa ya nche wanashangaa sana, zingetumika milioni 200 zingetosha hizo nyingine zikakarabati barabara za igunga,kujenga hops,mshule, kuwapa wanafunzi vitabu na madawati. ushabiki wa kijinga huu.wamenufaikaje na hizo hela??? magamba hawana akili
KWA BILIONI 3, nahisi kuna pesa ilienda wa Wasimamizi wa CDM igunga
Kama ni kweli kuwa CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...
CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....
Using the Mathematics concept, which most run away!
CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
In summary!! Hehehhehee
CCM imegharamikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegharamikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegharamikia kura moja kwa tsh 71,292/=
Kila mmoja anajionea, Mathematics never lie!!
Ungekuwepo Ingua ungeona wamenufaika vp!
sasa hivi wamemchagua mtu makini...wamefanya investment ya maana. Payback period ya investment waliyofanya ya kuichagua CCM itakuwa fupi sana. Hongereni sana wana CCM
Sikatai wamefanya investment kwa ajiri ya manufaa yao CCM,na si kwa wananchi nakuhakikishia watu wa IGUNGA wataikumbuka siku ya uchaguzi kwa majonzi makubwa,wengi watasema ninge,wakae mkao wa kusulubika tu tuombe uzima.
enyi wana jf mliojaliwa kusoma vizuri; tengenezeni hiyo hesabu tumpe okampo ahaingaike na haya magamba, tunakwisha tukiwa tunaona.
Tatizo hujui garama za uchaguzi..
Chadema unaowasapot wenyewe wametumia zaidi ya hiyo 200 uliyotaja.
O'Campo hadeal na kila kesi, wanashughulikia uhalifu dhidi ya binadamu at large. ndio maana hata washukiwa wa Kenya ni sita tu.
...Ndio maana waliambiwa wanafikiri kwa kutumia masaburi haya ndio matokeo yake!!!Hizo pesa wangejenga nyumba za walimu,kuboresha madarasa ya shule na madawati, zahanati kila kata, maji safi kila kata nk...kifupi igunga ingekua neema tu tena na chenji ingebaki....maana millioni elfu tatu sio mchezo
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.
Chama cha mapinduzi kilitumia shilingi bilioni 3 katika kampeni na mchakato mzima wa uchaguzi katika jimbo la Igunga. Pia helikopta ya chama hicho iliyotumika katika kampeni hizo ililipiwa na Rostam Aziz. Kwa upande mwingie CHADEMA wao walitumia shilingi milioni 400. Source: Gazeti la Mtanzani. My take: Ni hekima gani iliyotumika kwa hawa magamba kutumia 3 bilion kwa uchaguzi wa Igunga tu wakati kuna watanzania wanakosa chakula, akina hospitali hazina dawa, nchi iko gizani eti umeme hakuna?
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.