Kionambele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2010
- 236
- 93
Zikiwa zimebaki siku 23 uchaguzi mkuu ufanyike nchini,chama tawala nchini kimeanza kupoteza muelekeo wa kisiasa:chama hiki kwa sasa viongozi wake wanashindwa kunadi sera zao majukwaani vizuri na kutwa wamekuwa wakiiandama tume ya uchaguzi,mara propaganda za uongo kama vile toroka uje ambayo wameiiga kutoka kwa watanzania ambao wanaipenda UKAWA kwa moyo nà baadhi ya watanzania wanaoiunga mkono CCM akiwemo Ridhiwani Kikwete ni kwa sababu ya matumbo yao na sio moyo, na CCM wamekuwa na ahadi kedekede ambazo utekelezaji wake hauwezekani kwa miaka zaidi ya 50 sasa, ili mradi tu kuwini saikolojia za wananchi!Jaman watanzania sio wote malimbukeni,tumeshtuka!Kwa dalili hizi nakumbuka kale kausemi kuwa MFA MAJI AACHI ........(Maliza mwenyewe msomaji)