CCM yatamba kuendelea kubaki madarakani 2015

CCM yatamba kuendelea kubaki madarakani 2015

CCM kupitia kada wake Mzee Bulembo,wameapa kusalia madarakani kwa gharama zote.

Source,gazeti la uhuru

Umenikumbusha mbali enzi za Saadam Hussein na yule waziri wake alikuwa sijui anaitwa chemical Ally, alipenda hizi kauli hatujatolewa na wakati yuko mpakani anakimbia
 
Back
Top Bottom