Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 118
Wagombea wa Ccm watapigiwa kura na Polepole peke yakeChama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Analeta nadharia zake hapa? Mgombea wa urais tu alikosea na NEC ikaamua kumbeba.Ama vipi
In terms of what...Rubbish
Mkuu punguza wivuWagombea wa Ccm watapigiwa kura na Polepole peke yake
Upuuzi mtupu.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Ama niajeAma vipi
Tulia tulia dawa ikuenee mwilini ndo kwanza kidonge moja na ni asubuhi, inabidi umalizie hadi jioni dozi ni kutwa ×3.Rubbish
CCM tuna viongozi makini na waadilifu na ndo maana pia tumetekeleza maagizo yote ya tume bila kukoseaChama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana na mambo mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu. Katibu mkuu alijibu kuwa si swala la mbinu kwenye kufanya wagombea wa chama hicho kutoenguliwa na Tume bali ni swala la kufata sheria na kanuni.
Dkt. Bashiru alisema kwa upande wa CCM vitengo vya sheria vinavyosimamia na kuruhusu wagombea wa ngazi zote kujaza fomu na kisha kuhakikiwa na hali hiyo imefanya wagombea wa Ubunge 28 wa CCM wapite bila kupingwa na wanasubiri kuapishwa.
Endelea kujidanganya, ila usije ukasema mmeibiwa kura.Wagombea wa Ccm watapigiwa kura na Polepole peke yake
Chagua CCM, Chagua MagufuliCCM tuna viongozi makini na waadilifu na ndo maana pia tumetekeleza maagizo yote ya tume bila kukosea
Hoja yako haieleweki kabisa, jenga hoja vizuriAnaleta nadharia zake hapa? Mgombea wa urais tu alikosea na NEC ikaamua kumbeba.