Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
umemsahau Mzee wa Upako wa Mbeya - Mwambigija...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!
CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben Saanane, John Heche, Ole Milya, Ephata Nanyaro, Mwita Maranya, Sugu, na Mchungaji Msigwa.
Hakika hawa vijana wetu, kati ya wengine wengi sana tu, ni moto wa kuotea mbali mnoooo!!!!!!!!!!!!!
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
Kata ya Lugata iko Sengerema jimbo la Buchosa...kisiwani Kome
Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
Ngoja wakauone ukanda, ukabila na udini uliopo chadema watarejea wenyewe mlango ccm ukowazi.
Mafilili bwana.habari ni hao wenyeviti wa vijiji waliopiga chini sio issue za diwani, jaribu kuzitendea elfu saba haki japo kwa kusimama kwenye hoja.ungeweza tu kusema hizo habari ni za uzushi umewasiliana na viongozi wa chama maeneo hayo na kuthibitishiwa kwamba huu ni uzushi na huyo kamanda mawazo hakuwa huko lugata bali alikuwa morogoro kwenye mkutano na dr slaa jana.ila sio kwenda nje ya mada namna hii.alafu mkumbuke elfu saba kwa post sio pesa kidogo punguzeni starehe muweke akiba zitawafaa baada ya 2015.sababu kwa post ya namna hii inaonyesha chai haujanywa.Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
Ukanda ni slogani ya magamba, udini ni sera yao na ukabila ni uzushi wao
...Kamanda Mawazo; wee acha tu !!!!!!!!!!!!
CHADEMA Makao Makuu, chonde kati ya vijana wetu kibao ndani ya chama na juhudi zao zisizoelezeka kule mashinani kote nchini, napenda kuleta kwenu ombi langu kwenu kuwatambua kwa namna ya kipekee hawa wenzetu akiwemo Kamanda Mawazo, Ally Bananga, Ben Saanane, John Heche, Ole Milya, Ephata Nanyaro, Mwita Maranya, Sugu, na Mchungaji Msigwa.
Hakika hawa vijana wetu, kati ya wengine wengi sana tu, ni moto wa kuotea mbali mnoooo!!!!!!!!!!!!!
Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
Ukitaka uone ngoma inogire subiri uchaguzi uishe utaona kitakachofanyika..dondo ni kwamaba mawqazo atarudi kwenye halimashauri mpaka siku watakapo itangaza kata yake kuwa iko wazi maana hawataki kukubali kuwa alisha hamia chadema...Huyu mawazo kwa nini haendi kushiriki vikao vya madiwani arusha?
Ukitaka uone ngoma inogire subiri uchaguzi uishe utaona kitakachofanyika..dondo ni kwamaba mawqazo atarudi kwenye halimashauri mpaka siku watakapo itangaza kata yake kuwa iko wazi maana hawataki kukubali kuwa alisha hamia chadema...
MKuu,
Foundation/Msingi wa Nyumba huwa haupati nafasi ya kuonekana sana kama ilivyo ukuta, madirisha, milango n.k ambavyo hupambwa na kutambuliwa kwa 'namna ya kipekee' lakini umuhimu wake (msingi) ni muhimu sana kuliko hata mlango.!
Kutambua kwa namna ya kipekeee watu uliowataja inaweza isiwe na tafsiri unayojaribu kumaanisha. Kuna watu wengi sana ambao wanatakiwa kutambuliwa kwa namna hiyo, ni zaidi ya vigezo unavyotumia. Katika 'team work' ambayo ndio CDM wanatumia kila mtu anacheza kwenye nafasi yake ukiachilia mbali wasaliti wachache.
Kuna baadhi ya wana-JF ambao wana mchango wa kipekee kwa jinsi wanavyowachachafya wazee wa Lumumba.....
Mwisho wa siku wanaotakiwa kutambuliwa kipekee ni wale wanaokubali kubadilika kifikra; change of mind set is never an easy thing!
alafu pia atuambie ni wapi hiko kitu kimetokea kwani wachache wanamjua km maguzu masese ni wa serengeti musoma kwetu. kamanda masese uwe unaleta taarifa isiyo acha swali humu jukwaani tell us the full story and clearMkuu maguzu masese hao waliovaa gwanda ni wenyeviti wa vijiji ama vitongoji?
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
mkuu,
foundation/msingi wa nyumba huwa haupati nafasi ya kuonekana sana kama ilivyo ukuta, madirisha, milango n.k ambavyo hupambwa na kutambuliwa kwa 'namna ya kipekee' lakini umuhimu wake (msingi) ni muhimu sana kuliko hata mlango.!
Kutambua kwa namna ya kipekeee watu uliowataja inaweza isiwe na tafsiri unayojaribu kumaanisha. Kuna watu wengi sana ambao wanatakiwa kutambuliwa kwa namna hiyo, ni zaidi ya vigezo unavyotumia. Katika 'team work' ambayo ndio cdm wanatumia kila mtu anacheza kwenye nafasi yake ukiachilia mbali wasaliti wachache.
Kuna baadhi ya wana-jf ambao wana mchango wa kipekee kwa jinsi wanavyowachachafya wazee wa lumumba.....
Mwisho wa siku wanaotakiwa kutambuliwa kipekee ni wale wanaokubali kubadilika kifikra; change of mind set is never an easy thing!