CCM yapata mgombea Arusha Sombetini

CCM yapata mgombea Arusha Sombetini

Mawazo unajitekenya mwenyewe nakucheka ha ha ha ha ha huwezi pewa hapa lema hakutaki Arusha tena tangu ulipomchonganisha na cc

Acha kuwa na nidhamu ya uoga wewe,kamanda mawazo yupo site ana deal na chadema msingi,kumbuka name calling kwa rules za JF ni kosa shekhe.
Kata hyo inaenda kwa chadema labda mfanye tena kale ka mchezo kenu ka soweto
 
isijekuwa amesainishwa fomu kwa mtutu wa bunduki , maana kwa hiyari yako huwezi kugombea arusha kwa tiketi ya ccm , MH LEMA AMEUA ccm arusha .
 
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa

Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014

Hiyo tarehe boss
 
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa

Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014

Huyu ni mmasai wa wapi? Maana walikuwa wanaendesha kampeni kuwa Arusha lazima iongozwe na wamasai...
 
CHADEMA Habari ya A town ssmu hawawezi HUO MZIKI CHADEMA imefuta ssmu ar kama nabisha muulize shonzaa na chemba walikuwa uwanjani wakipigwa 4 bila
 
9:2:2014. Samahani

mkuu bado unazidi kujichanganya tu. Hii tar mpya uliyoiweka ndio siku yenyewe ya uchaguzi. Sasa sijui unamaanisha kampeni na uchaguzi vyote vitafanyika siku moja. Anyway,ujumbe umefika na ninatamani sana ungetudadavulia japo kidogo wasifu wa huyu msindikizaji Khamis.
 
Thubutuu!Huko ataenda kila kiongozi kuanzia mbowe,slaa,Lena,lisu,mawazo na kila unaemjua ana ushawishi!

Kuwa siriazi basi mkubwa. Kama zile kata nne alifanya kampeni Lema tu na makamanda wa chini hii moja tarajia itafanyiwa kampeni na viongozi wa chama-ngazi ya kata,matawi na misingi.
 
Naamini Huyu ndio DIWANI MTEULE wa Kata ya Sombetini.
MSALANI
Yanini kujivua ufahamu mtu mzima.
Ina maana ushasahau ya 4 - 0 ?
Kuwa Serious Mkuu...sorry nilisahau kumbe wewe akili Samaki
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni mpango wa mungu kama unabisha nenda vijijini uone.
 
Back
Top Bottom