Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa
Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014
hapo kwenye blue sijaelewa mkuu, hebu thibitisha

Amekurupuka sijui alikua anakata gogo msalani.relax bro
Mawazo unajitekenya mwenyewe nakucheka ha ha ha ha ha huwezi pewa hapa lema hakutaki Arusha tena tangu ulipomchonganisha na cc
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa
Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014
Ccm imemteua ndugu khamisi Dello kuwa mgombea nafasi ya udiwani kata hiyo kazi hiii imefanywa na halmashaur ya mkoa
Kampeni zinazinduliwa tar 15:9:2014
Huyo ni mrangi wa mondo kondoa
Thubutuu!Huko ataenda kila kiongozi kuanzia mbowe,slaa,Lena,lisu,mawazo na kila unaemjua ana ushawishi!
9:2:2014. Samahani
Thubutuu!Huko ataenda kila kiongozi kuanzia mbowe,slaa,Lena,lisu,mawazo na kila unaemjua ana ushawishi!
Natamani niwepo!
mwigulu anasubiriwa kwa hamu kubwa sana maeneo ya sombetini