haaaaaaaa,,,,,,,,,ngoja ni cheze kwanza,,,,,,,,,,,:msela:,,,,,,,haaaaaaa,,,hiki chama sasa kina jizika chenyewe,,,,,kwa maneno haya ni wazi ccm,haipo kuwatumikia wananchi,,,,bali,,,,kipo kutekelaza maslahi ya chama ambayo ni wizi wizi,wizi wizi,haaaaaaaaaaaa,,,,,,wajinga ndio waliwao,,,,,,,,ni nani mjinga,,,,,,ni,,,,yule,,,,ambaye,,,bado,,,,,,anaishabikia,,,,,,ccm,,,,,,na,,,,kuipigia,,,,,kura,,,,,,,,maneno hayo ni ushaidi,,tosha,,,,,,,ccm,,,,,,,,,nichama kilichopoteza sifa,,,,,kuendelea,,,,,,kuongoza,,,,,,ndungu lile,,,,,,vp,,,,,upo,,,,,,mjomba,,,,,,,sasa,,,jiandae,,,,,kupigwa,,,,,chini,,,,,,,kwenye,,,,kura,,,,,za,,,,maoni,,,,,,,,chadema,,,,,,, wamesha tangaza,,,,awachukui,,,,tena,,,,gamba,,,,,,,,,,,haaaaaaaaaa,,,,
Umenichekesha sana... halafu haka ka msemo naona kama wana ka misuse vile..Kweli jamaa wanakiwewe, hata msemo aliyoutumia wa "kwa nini tunagombea FITO wakati tunajenga nyumba moja" ujenzi siku hizi ni nondo na simenti + mchanga. Fito ni za 47.
Ni Dr. F. Ndugulile.Hivi Mbunge wa Kigamboni ni nani?
CCM yapata kiwewe Dar
Aliongeza, "Kuanzia sasa mikutano na kutumia lugha za upinzani zikome, tuwe wamoja tuondoe tofauti zetu kwa nini tunagombea fito wakati tunajenga nyumba moja?"CHANZO: NIPASHE
amesahau kila enzi ina mwisho wake na enzi za CCM sasa bye.. anashangaa TMK? aangalie Bkb,Shy,Mwnz,Mby n.k then atajua.
Kweli jamaa wanakiwewe, hata msemo aliyoutumia wa "kwa nini tunagombea FITO wakati tunajenga nyumba moja" ujenzi siku hizi ni nondo na simenti + mchanga. Fito ni za 47.