CCM yapata hati yenye shaka

Mtoa maada, ametoa taarifa tena kwa vifungu wewe unaleta matusi!!! Hii inadhihirisha kuwa wana ccm wengi kama wewe weupe kichwani
Hilo lipo wazi mkuu, utashangaa watu wanajiuliza kwanini hatuendelei pamoja na kuwa na rasilimali nyingi, viongozi wetu ndo hao!
 
Reactions: GUI
Ndugu yangu miye naona HOJA ni matumizi mabaya ya fedha ya Chama cha Mapinduzi. Kudai nguvu ya hoja itoke kwenye hesabu za fedha za vyama vyote ni kukengeuka..
Sababu mojawapo ya kuandaa mahesabu yaliyokaguliwa (audited financial statements) ni kuweza kulinganisha kati ya taasisi moja na nyingine na pia kutoka kipindi kimoja mpaka kingine katika taasisi hiyohiyo. Siipendi CCM, lakini kwenye hili la mahesabu najua vizuri tu hakuna chama chenye nafuu. Na kwa hakika shida sio vyama kama taasisi bali ni watu......maadili, weledi vinapungua sana!
 
Chadema Vitabu vyao vya hesabu bado wanachakachua risiti
 
..Nimekuelewa ndugu yangu...Hapo nakuunga mkono. CAG alete hesabu za Vyama vingine vyote (hasa vile vinavyochukua RUZUKU ya Serikali)..
 
Reactions: SMU
sasa huu ni mzaha, jengo la ccm mkoa wa mwanza lina thamani ya zaidi ya bil 200, lile jengo jipya la kitega uchumi pale masaki je? uwanja wa ccm kiruma? ofisi ndogo ya lumumba? jengo la vijana makao makuu? usijekuta akina lowasa walishakopea bank.
 
Lowasa tusimsingizie bure wakati ukaguzi ni 2015/2016
 
Mamburula tanzania ni hawa wafuatao....mbowe, msigwa, lema, sugu na mnyika. Hawa wote kwny saccos ya mzee mtei iitwayo chagadema.

Huna hoja. Haya ni Maneno ya mtu aliye na ukame wa hoja. Leta hoja sio kumbwelambwela!
 
chagadema iko juu kwa kuongozwa na wacheza sinema. Wachekeshaji na ma zero
Nyani haoni kundule. Labda hapa unamsemea Paul Chritian Makonda Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliyehitimu kidato cha nne Pamba sec school kwa kupata daraja SIFURI 'O' (Daudi Albert Bashite) mwanachama wa ccm
 
Huwezi kuitenga ccm na wizi, ufisadi, ulaghai, dhurma, umaskini na uharibifu wote unafanyika hapa Tanzania, ukabaki kuwa mzalendo.

Huwezi kuitenga ccm na wizi, ufisadi, ulaghai, dhurma, umaskini na uharibifu wote unafanyika hapa Tanzania, ukabaki kuwa mzalendo.
CCM ni chama hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…