CCM yapata hati yenye shaka

Ya chadema inasemaje au wenyewe hata kukaguliwa hawataki maana najua huko kwenye mambo ya hela ndo kuna balaa. Pesa za chama zinatunzwa chini ya mto wa mwenyekiti. Huko najua kuna uozo zaidi ya ccm

Ipo sawa
 
Mamburula tanzania ni hawa wafuatao....mbowe, msigwa, lema, sugu na mnyika. Hawa wote kwny saccos ya mzee mtei iitwayo chagadema.
 
Kama CCM ikiwa safi kila sehemu basi upinzani hamna kazi yake,kwa hiyo nategemea kwa kete hii chama kikuu cha upinzani kiwe na hati safi,ikitokea kina hati ya Mashaka pia nitajua ni wabovu kuliko wanaomkosoa,huwezi ukawa mkosoaji halafu ukawa unafanya makosa yale yale km anayofanya mtu unayemkosoa
 
Tulitegemea ccm kama chama kikongwe kiwe mfano kumbe hola! Yaani hakina tofauti na ACT wasaliti. kwa hili la ukaguzi CHADEMA ipo juu
chagadema iko juu kwa kuongozwa na wacheza sinema. Wachekeshaji na ma zero
 
Mamburula tanzania ni hawa wafuatao....mbowe, msigwa, lema, sugu na mnyika. Hawa wote kwny saccos ya mzee mtei iitwayo chagadema.
Mtoa maada, ametoa taarifa tena kwa vifungu wewe unaleta matusi!!! Hii inadhihirisha kuwa wana ccm wengi kama wewe weupe kichwani
 
Ni mapanya buku
 
Ungeweka na za vyama vingine ili kuipa nguvu hoja yako. Humu kwenye vyama vya siasa karibu vyote ni madudu tu na sidhani hata kuna wa kumcheka mwenzie! But yes, ccm na cdm tunategemea wawe mfano.
Ndugu yangu miye naona HOJA ni matumizi mabaya ya fedha ya Chama cha Mapinduzi. Kudai nguvu ya hoja itoke kwenye hesabu za fedha za vyama vyote ni kukengeuka..
 
Reactions: SMU
bora uibe angalau uwe na chakuonesha,kuliko kuiba hata chakuonesha huna........dah hata ofisi shida na maruzuku yote hayo.
 
shika adabu yako wewe nyumbu. weka taarifa ya chadomo kwanza tuone. wapi wamesema wizi kama sio tofauti tu ya mahesabu.
 
Je vyama vyenye viongozi wa maisha mnavisemaje vinatumia OC bila utaratibu wa Mapato na matumizi hoja za CAG kwa upande wa CCM zina jibika
Si usubiri ripoti ya CAG kwa hivyo vyama kiherehere cha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…