karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 268
- 222
Huyo anaesema uongo hakuwa uwanjani.
Hats taarifa ya habari ITV hukuona??
Hats taarifa ya habari ITV hukuona??
nitumie namba yako ya watsup nikupe hii clip ya leo wee kilaza
"haya si mapenzi ni mahaba,mahaba haya yaonekana kwenye kura"
Ni uongo, nilikuwepo uwanjani na sikuona hilo.
Ukawa acheni uzushi na uongo.
Mkuu unaitwa tanzania main stadium..!!