CCM yamzidi Kete Warioba!

Hayo unayoyasema kuhusu hiyo mahakama yanayo faida gani kwa Mkristo ambaye HAIAMINI, HAIMHUSU WALA HATAHUKUMIWA na mahakama hiyo.??
Mbona yote ya kwenu, kwanini msianzishe? Mnasubiri tuwape ruhusa?

Umesema ni mfumo wa maisha, ila hayo si maisha yetu Wakristo ni yenu. Anzisheni basi mhukumiane mnakoamini. Serikali haina dini, mnataka mhimiri wake mmoja uwe na dini, mkimaliza mtulazimishe kuwachangia fedha zetu..!!! BIG NO!
 
watu kama mtoa mada huyu ni wagumu mno kuelewa. siyo kwamba Waryoba hakuzingatia maoni yenu ila alisema maoni hayo yatumike kwenye uandaaji wa katiba za nchi washirika. Rasimu ya katiba ya Waryoba ilibeba mambo ya muungano tu.

Mzimu soma rasimu hapa, utayaona hayo. Attached: RASIMU YA PILI YA KATIBA YA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA
MWAKA 2013.pdf (1.05 MB)

Sasa kwanini hawakutumbia kua tunatengeneza katiba kuhusu mambo ya muungano peke yake???. Nemesis, sasa hapa ni nani mgumu kulewa kati ya wewe na mimi?.

Pili hebu eleza kinagaubaga, katika hiyo Rasimu ya pili hiyo nukuu tuna ipata katika ibara gani?.

Nemesis acha kukurupuka ndugu yangu!

Tatu hiyo attached pdf yako iko wapi, mbona ni maandishi tu. Au hujui ku attach documents?
 

Tatizo ni uwelewa. Yaani hapa JF saa nyingine sijui tunajadiliana na watoto secondary hata sijui nini?. Ni shidaaa! Wapi tumewahi kusema kua tutawahukumu wakristo na wasiokua waislamu?.

Hilo likitokea ni kwa mapendekozo ya mtu binafsi au yeye na mwenza wake au familia yake. Hivyo ndivyo inavyotokea uingereaza kwa sasa. Wapo watu wasiokua waisalamu wanaopeleka mashitaka yao kwenye mahakama za kadhi kupewa hukumu na wanaridhika na kufurahishwa na hilo.
 

Anzisheni chombo chenu cha kukusanya kodi sio TRA ambayo nayo inalipwa kwa kodi za watanzania wote.Mkishakianzisha na kutueleza kwamba mtaweza kuigharimia njooni tujadiliane jinsi ya kuweka mahakama za Kidini kwenye Katiba bila kuadhiri wapagani.Hatuwezi kuweka kwa kigezo kwamba Uganda ipo kwani mwingine atadai Tanzania nayo pawe na waasi wa Lord Resistance Army.Sio kila kitu kinaigwa.
 
Sasa hao watoto wako ni akina nani? Mbona wanakuuliza maswali yanakushinda?
Unaishiwa majibu unaita watu watoto, bora watoto weledi kuliko wakubwa wazembe wa kufikiri kama wewe Mzimu
 

Waislam msipende ubwete mahakama ya kidini kwa nchi isiyofuata dini nisawa na kumpeleka Mbwa msikitini, mnapesa za kuweza kuanzisha na kusimamia mahakama zenu.
 

Hivi kweli waislamu hamna uwezo wa kufanya mambo yenu wenyewe mpaka msaidiwe na wakristo,wabudha,wahindu na wapagani?Serikali iliwasaidia kuanzisha BAKWATA lakini kila siku mnaiponda kwamba ilianzishwa na Nyerere ili kuwadhulumu waislamu.Hata Mahakama ya Kadhi ikianzishwa na serikali mtalalamika imeanzishwa na mfumo kristo.Tafadhali jiaminini na ianzisheni wenyewe msisubiri kuwezeshwa kama wale wa jinsia ya pili.
 
wanaotibiwa humo ni wakristo tupu?
try to think wise

Aaah, Kamanda Al-shabaab nakuheshimu sana mkuu wangu ila niombe kutofautiana nawe ktk huu mchango wako

Ukitaka kuwa mtu makini usikubali hata siku moja kushurutishwa na upande flani unaoupenda sana kudanganya kwa maslahi ya upande wako...kwanini nasema hivyo..!!!?

Kamanda naona umeamua kuudanganya moyo wako kwa kuwa hutaki kusikia ukweli mzuri kutoka upande usiokubaliana nawe. Jaribu mkuu kufanya kautafiti kadogo tu wala hakatakuchukulia muda mrefu Nenda hospitali yoyote ya dhehebu lolote la dini ya kikristu ukifika pale hapo nenda moja kwa moja mpaka Mapokezi, omba daftari la orodha ya wagonjwa wanaoandikishwa kila siku kwaajili ya kupatiwa matibabu. Nakuhakikishia kama hutakutana na majina mengi ya kina Mud, dulla na mengi yanayofanana na hayo basi hawatapishana sana na orodha ya majina ya kina John, Jose nk fanya utafiti mkuu

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

Sasa hao watoto wako ni akina nani? Mbona wanakuuliza maswali yanakushinda?
Unaishiwa majibu unaita watu watoto, bora watoto weledi kuliko wakubwa wazembe wa kufikiri kama wewe Mzimu

Waislam msipende ubwete mahakama ya kidini kwa nchi isiyofuata dini nisawa na kumpeleka Mbwa msikitini, mnapesa za kuweza kuanzisha na kusimamia mahakama zenu.


Hoja zenu za kitoto tulisha zijibu mara nyingi. Nyie vitoto vya Sunday school sijui uwezo wenu wa kufikiri umeharibiwa kiasi gani?. Hebu jaribuni kufikiria kwa akili zenu za kawaida bila communion juice. Sijui mnachanganyiwa na nini?
 


Mimi kwa hili nakubaliana nalo 100% kwani nilimsikia Warioba anapowasilisha rasimu kwa rais na pia akihutubia bunge,alisema nchi washirika watakuwa na uwezo wa kufanya maamuzi katika katiba zao,kama kujiunga pia na mashirika mbalimbali,akataja mpaka na mahakama ya kadhi.Mimi nilimsikia,sifahamu hotuba yake akitoa bungeni ilipohifadhiwa,unaweza tafuta na kujiridhisha mkuu.Mchawi kwa hili ni ccm pekee
 

Mkuu kwanza nikutoe wasiwasi hali haiwezi kuwa mbaya kama unavyojaribu kutisha watu hapa. kama ilikuwa ikihitajika kufika huko (kwenye hali mbaya) tungeanza kwenye bunge la Katiba lakini tunashukuru mjadara wa watu makini uliwezesha kuvuka salama salimini huku hoja zikitawala na hatimae ufumbuzi kupatikana hivyo kujaribu kudai kwamba hali yaweza kuwa mbaya kwa jambi dogo kama mahakama ya Kadhi ni kujipa presha isiyokuwa na msingi wowote.

BACK TANGANYIKA
 

Hebu edit hiyo post yangu ulio inukuu, naona umenichanganyia pilau na mlenda. Umeniongezea maneno. Sivyo hivyo ilivyo!
 
Baadaye mtadai mjengewe madrassa simply kwa kuwa mnalipa kodi!
 

Hoja ya kodi siyo dhaifu kama unavyotaka kujiaminisha! Dini zote zimejiwekea utaratibu wa kutatua migogoro ya waumini wao! Wakrito wana mabaraza ambayo hushughulikia maswala ya ndoa na haya hufanywa kwa kujitolea kwa wazee wa makanisa! Mambo ya mirathi huachwa kwa tamaduni za wahusika na dola!

Hivyo ni busara waislam watafute namna wanavyoweza kutatua migogoro ya ndoa na mirathi ya waumini wao!

Isitoshe kwa imani yenu waislam mnahubiri kutumia fedha halali na iliyopatikana kwa njia zinazokubalika na sharia, sasa iweje mnataka kutumia fedha zilizopatikana kwa njia ya riba, kodi za pombe nk.!
 
Baadaye mtadai mjengewe madrassa simply kwa kuwa mnalipa kodi!


Ok. Ni simple tu. Kodi yenu isitumike, itumike kodi yetu. Hakuna haja ya ugomvi.

 

Attachments

  • 936095_326915080809476_4087629733299783703_n.jpg
    26.1 KB · Views: 91
Kwani ndugu zetu waislam mnaona shida gani kuanzisha hiyo mahakama yenu wenyewe. Mnachoogopa ni nini, hamna uwezo!, hamuwezi kujiongoza! kwanini mnapenda miteremko. Hilo noi suala la imani yenu zaidi, jipangeni, fanyeni jitihada mijitegemee. Tusipotezeane muda hapa.
 

Miteremko ya kwenda wapi wewe! Mbona weledi wenu upo nusu nyinyi!
 
Kuna nchi nyingi tu za kiarabu ambao wanafuata mfumo wa kuongoza nchi wa kimagharibi wewe kwa akili yako unadhani ni mfumo kristu. Mnapenda vitu vya bure, chuo mlipewa lakini hadi leo hakitanuki hakina hata matawi angalieni wenzenu dini za kikristu vyuo vyao vinavyokuwa na kwa kutoa elimu bora. Chuo chenu mmekiwekea mazingira na sheria kiasi kwamba hata waislam wa kawaida hawataki kwenda kusoma kwenye hicho chuo.

Hoja zenu za kitoto tulisha zijibu mara nyingi. Nyie vitoto vya Sunday school sijui uwezo wenu wa kufikiri umeharibiwa kiasi gani?. Hebu jaribuni kufikiria kwa akili zenu za kawaida bila communion juice. Sijui mnachanganyiwa na nini?
 
Hebu edit hiyo post yangu ulio inukuu, naona umenichanganyia pilau na mlenda. Umeniongezea maneno. Sivyo hivyo ilivyo!

Mkuu lengo langu halikua kukuchanganyia post yako bali kukujibu kwa kila kila kipengele, Naomba kila mwisho wa sentensi uliyoiandika wewe inayo fuata ndio majibu yako ktk sentensj husika... kumradhi mkuu naomba tuendelee

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…