CCM yamgeuka Lowassa

Chadema haiwezi kupata umaarufu kupitia Arusha!

Kibunago tunakuomba utueleze nini mtizamo wako juu ya kauli ya Ngwiji (Nguzo)ya CCM Rais Mtarajiwa 2015 Mr lowassa hiyo ndio kauli muhimu kwa sasa au wewe ni kama vile mto unafuata bahari ilipo?
 

Mkuu,

Kwa mgawanyo huo basi ingawa siipendi CCM lakini ingeshinda kwa asilimia 48.39 na isingekuwa na haja ya kumleta Mary Chatanda kutoka Tanga.

**************CHADEMA*CCM*****TLP

Madiwani-----------------08******10******01
Viti Maalum--------------03*******03*****01
Ubunge-------------------03*******02*****00
Jumla--------------------14*******15******02
Asilimia-------------------45.16***48.39***6.45
 

jamani makamba amenichefua sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huenda kuliko habari yeyote niliyowahi kuisoma katika forum hii!! Makamba ni mshenzi, mpumbani, muhaini, shetani, ambaye hatakiwi kuandikwa kwenye historia ama kuzungumziwa kwa maneno ya kishenzi aliyoyatoa kuhusu arusha!!!!!!! Sijawahi kuudhika kiasi hiki tangu nianze kusoma mada mbalimbali katika forum mbali mbali! He must be ashamed of himself,............... Shame on him!!
 
Mtachonga sana... Ila tu chadema haiwezi kuitumia Arusha kutafuta umaarufu! Mbaya zaidi kupitia huyo mhuni Lema!
Mheshimiwa unamuita muhuni kwa hili hujawatendea haki wakazi wa jimbo la Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…