CCM yameguka

Ahaaaa!! Walisema kweli kuwa utaingia na pofu nikadhani uongo
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
 
Khaa!!! Eti hii nayo ni thead. Mods ondoa hii takataka. Ndiyo maana watz wengi ni masikini pamoja ni mfumo mbovu lakini akili kama hizi zinachangia kwa 85% kuleta umaskini
 
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.

Matapeli ni ccm boya wewe,yameiba vingapi?hivi wewe kweli ni mzima?wewe ni empty vessel!
 
Khaa!!! Eti hii nayo ni thead. Mods ondoa hii takataka. Ndiyo maana watz wengi ni masikini pamoja ni mfumo mbovu lakini akili kama hizi zinachangia kwa 85% kuleta umaskini

kama ni mfumo mbovu kinachokufanya ushabikie wezi wanaobebwa na mfumo huu mbovu nini? Ni njaa uliyonayo au ujinga ulionao?
 
ihiko chama kilishameguka zamani sana,,,,,magamba yamegoma kuvuka
 
lakini ifahamike kuwa CCM ni moja na ahadi zake kwa wananchi ni jambo lingine kwaiyo mtu anaposema itaongoza had itakapochoka kwa blaa blaa zake labda watanzania wote wawe mambumbumbu na wasio na,kumbukumbu ata hivo hakuna kitu chochote kitakacho dumu milele endeleen kuboronga tuu ila mjue the end iz near ...
 
Ccm safari ya kufa Imewadia wanapita. Kutoa buriani nchi nzima
Hivi hamushangai wananchi kila mahala wanalalamika dhidi ya viongozi wao kwa kutowatendea haki? Viongozi hao si wa upinzani ni hao hao wenzake kinana.Hii inaashiria kufeli kwa system nzima ya CCM.UFISADI UNAWAUMBUA
Kazi yao wizi na uongo
Wananchi washawastukia.
Eti Kinana anawakemea mawaziri,umeona wapi wewe mtendaji mkuu wa chama kuosimamia serikali na kutowa amri.
"SO LONG CCM"
 
Lowasa anasubiri muda asambaratishe wote. Mzee wa gombe, sita na membe hawamwezi
 
kama ni mfumo mbovu kinachokufanya ushabikie wezi wanaobebwa na mfumo huu mbovu nini? Ni njaa uliyonayo au ujinga ulionao?
Khaa!! Unanishangaza sana. Bora nishabikie ubovu mdogo uliopo kuliko kushabikia ubovu mwingine mkubwa uliokithiri. Hata ujinga una degree pia. Kuna ujinga mdogo na ujinga mkubwa uliokithiri :loco:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…