CCM yalaani vikali kuteswa kwa Kibanda

Jamani jukumu la ulizi si tumewapa hio serikali ya ccm badala ya utekelezaji matamko tuu
 

Fnck off, killers!!
 
Nape na sisiem yako hili mnalijua,hatutaki siasa hapa
 

Dr Ulimboka,Mwangosi,Morogoro,Arusha vijana 3 mbona hukutoa pole?
 
Tangu amehamia new habari amekuwa mwiba kwa serikali ya ccm na kuongeza wanunuzi wa magazeti ya rai na mtanzania.waliripoti waliomua padri mushi wakamatwa kenya,alshabab wavamia ukerewe,na kusifia chadema inavyofanya vizuri kwenye chaguzi kanda ya ziwa.tofauti na zamani haya magazeti yalikuwa hayaandiki kwa uzuri habari za cdm.
 
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu

Nakuomba ushike adabuyo, maana wenye damu ya kunguni unatutafutia BAN v soon
 
Wewe umeshatoa tafsiri!

Nilitegemea kuona kauli na matamko kama haya yakitolewa na vyama vingine kama chadema na vingine kama ilivyokuwa kwa mwangosi na wengineo. ila ukimya wao unatoa picha tofauti na tafsir zisizo na majibu ya moja kwa moja.
 
Vyovyote mtakavyosema MAGAMBA, damu ya ULIMBOKA NA MWANGOSI haitasahaulika kwa watanzania------mnapoteza muda, wanafiki wakubwa nyie
 
Je Iwapo serikali yako wewe Nape haitafanya kuendana na tamko mlilotoa JE MTACHUKUA HATUA GANI.......?
 
Ukiona Ngo'mbe anakunya huku akitembea,yale sio mapozi,Mwenzio anajali mda
 
Ni mjinga tu ndiye atawaza kuwa CDM wamefanikisha hili jambo. Kwanza waliomteka walikuwa na SMG, pili mbinu iliyotumika katika kumteka inatumiwa na watu wa Usalama wa Taifa, JWTZ na polisi almaarufu(TORTURING), tatu, watekelezaji wa unyama walikuwa wanaitana AFANDE. CDM hawana neno hilo katika RED BRIGADE. so utapata picha ya kwamba kuna mbinu in afanyika ili kuwapa lawama wapinzani wakati mchawi anafahamika ni NYINYIEM na serikali yake.
 
Ccm chama cha watumiaji masaburi kufikiria. Wanatafta mbinu za kuonyesha chadema imehusika kwenye hili suala. Hata ulimboka walisema hvyo. Akili mgando kweli,hawana adabu mbele ya umma na ni waongo wakubwa. Sijapata sikia kama kuna jitihada zozote zinazokomesha wimbi jipya la utekaji na unyanyasaji wa raia wasiokuwa na makosa
 
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu

Watu dizaini hii ndo Masaburi aliwaambia wanafikiri kwa kutumia makalio,ndugu yetu Kibanda bado hali yake si nzuri halafu wengine wanaandika yasiyokuwa na mashiko, nafikiri huyu ameshamrahisishia kamanda Kova kazi, nafikiri anaweza kuisaidia polisi katika suala hili la Kibanda
 
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
katoa ushahidi polis ili kuisaidi hiyo serikali yako ya majambazi na ung'oaji kucha.
 
Ccm kwa unafiki ni hatari, wanachoandika ni tofauti na wanachokitenda gizani. Kweli ccm ni national disaster!
 

Mbuuuz meee wewe...

Wewe Nape si ndio umetoa kauli ya kipuuzi kabisa huko twitter kuhusiana na kutekwa kwa Kibanda?

Mbona umeshindwa kuiamrisha serikali imkamate Ramadhani Ighondu kwa kosa la kumteka na kumtesa Ulimboka?...
 
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
kwa hiyo kumbe ni kweli na nyie mlimpiga ulimboka na mwangosi via TISS na POLICE respectively au labda unataka ku justify vipi cdm inahusika kwa tukio hili,mimi na justify kwa hayo matukio mawili kwa kuwa walitajwa na kuonekana kwamacho naa bila ya hatua kuchukuliwa je?kulikoni tukio hili na tamko la NAPE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…