Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,810
- 7,696
Ni CCM ndiyo wamesema, soma habari vizuri.Hatupokei oil chafu by f.mbowe
MTU mwenyewe chakubanga na kigazeti cha Uharo, upuuzi mtupu.Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Humphrey Polepole waweke hadharani barua ya maombi ya LOWASSA kujiunga Na CCM, Kinyume Na hapo ni u shilawaduHabari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Habari kutoka kwa Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM Humphrey Polepole, ni kuwa wamekataa ombi la mzee wa Monduli kurejea CCM.
Source: Gazeti Uhuru. Ukurasa wa mbele leo.
Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hiloMwambie rais akatubu kwanza
Swissme
Kaomba radhi wapi na lini?Aliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo
Amuombe radhi kwa kosa gani sasa? Kwani kuna wakati alikosea? Kumwambia muamini akatubu ni kosa? Mbona kila siku anapiga magoti mazabahun? Pale huwa anafanya nn au anakuwa kwa angela kairuki madale.we jamaa wa hovyo sana. Yawezekana upo kama shaka.s.shaka aliyeolewa na uvccm mwenziwe huko tanga anaitwa salum mpelembweAliemwambia Rais akatubu amekiri kaomba Radhi kwa Rais japo kasikitika TRA kufichua hilo