Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
yeah upo sahihi mkuuu songa mbele!!!
Nyie endeleeni kuwafumbua macho tu, acha hivyo mpaka 2015 cdm ilichukue, sasa wewe unaropoka tena, anaweza akasikia akafanya maajabu kwa hii miaka miwili iliyobaki, walio lala usiwaamsheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?????
Mazingira mazuri kwa kamanda Anselim Tryphon Ngaiza aka Soggy Dog Anter aka bichwa kuchukua ubunge.
Ingekuwa kusema hivyo tu unasonga mbele kila mtanzania angekuwa mbali sana,yeah upo sahihi mkuuu songa mbele!!!
Ndiyo kina nani hao?
...hii ni tabia ya wabunge wote walioshinda kwa rushwa na uchakachuzi ,hawafikirii wananchi wao...
Jerry anajiandaa kugombea Ukonga
Ndiyo kina nani hao?
Mbunge mtarajiwa wa ukonga kupitia CDM
hawa magamba 2015 wote chini!!!