INABIDI TUWAFUNDISHE WANETU MASHULENI NYIMBO ZENYE MAANA. Hiki sio kizazi cha NDIO MZEE TENA au kidumu chama cha majambazi! Baadae kidogo tu watoto wataanza kututia bakora kwa kushabikia chama cha majambazi.Nasema sitaki, narudia, sitaki kusikia CCM yajenga nchi hata kama ni kibwagizo cha miaka ya '47'. CCM ife kifo cha mende, inshallah!
UNAHITAJI MAOMBI HUYO PEPO MCHAFU AKUTOKE!! Hana tofauti na yule anaefanya watu wale mavi!! Kweli mjinga atashabikia ujinga na matokeo yake ni ya kijinga kama tunavyoona TanzaniaSitaki kusikia CCM inasagiwa, wote tumefika hapa kwasababu ya chama chetu, CCM. Ninataka niwakumbushe kuwa CCM ni chama cha kitaifa cha Watanzania, ni lazime tujikumbushe kujivunia kilicho chetu, mimi ninapata "goose bumbs" za furaha ninaposikia kuwa CCM inajenga nchi, CCM ilijenga nchi na inaendelea kujenga nchi. Wakati ilikuwa ni TANU ilituletea uhuru, ikatuunganisha na kuimarisha umoja wa kitaifa (nation state), baadaye kwa siasa za ujamaa na kijetegemea chama kilidhibiti misingi ya uchumi, na wakati ulipofika kikaruhusu uhuru wa kisiasa (liberalization). Hivi sasa chini ya kipenzi cha wananchi walio wengi, Baba Mlezi wa Taifa, Nuru yetu ya Maendeleo, Mhe Dr J. M. Kikwete tunaelekea kusherekea miaka 50 ya uhuru. Kweli kama siyo CCM tungekuwa wapi leo sisi Watanzania? KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA VIONGOZI WETU WA CCM.
INABIDI TUWAFUNDISHE WANETU MASHULENI NYIMBO ZENYE MAANA. Hiki sio kizazi cha NDIO MZEE TENA au kidumu chama cha majambazi! Baadae kidogo tu watoto wataanza kututia bakora kwa kushabikia chama cha majambazi.Nasema sitaki, narudia, sitaki kusikia CCM yajenga nchi hata kama ni kibwagizo cha miaka ya '47'. CCM ife kifo cha mende, inshallah!
Wanaoimba ivo hawajasoma uzi wako. Hawana umeme, hawajui tivii wala redio, sembuse intaneti!!!
soo tangazo au ujumbe wako haujawafikia.