CCM yaiweka mfukoni CHADEMA

Chama Cha mbeleko ya vyombo vya Dola nacho kinaweza kuweka chama Chochote mfukoni?
 
Chama Cha mbeleko ya vyombo vya Dola nacho kinaweza kuweka chama Chochote mfukoni?
CCM inabebwa na ubora wa sera na ajenda zake zenye kugusa maisha ya watanzania wa makundi yote.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuandika haya wakati nchi inachangamoto nyingi. Ni shetani kama hili linaweza andika tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa halifai kuendelea kuwa sehemu ya wananchi wa Tanzania
 
Chadema iliyotegemewa kuing'oa CCM imekuwa kikundi cha watoa taarifa
 
Hizi takataka zinachosha kusoma
 
Maisha magumu watu wanatafuta vitonga kupitia teuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…