CCM yaiteka Songea (picha)

Kwa wataalamu wa picha mmeshaelewa hapo namna picha ilivyopigwa,cha kuongezea tu mkutano haukuwa na watu wengi kama inavyotaka kuaminishwa hapa,zimanimoto ni uwanja mkubwa sana lakini watu walikuwa ni wachache mno waliokuwa wanaangalia mechi ya songea boys uwanja wa majimaji unaopakana na zimanimoto walikuwa wengi kuliko hao waliokuwa kwa Nepi
 

Wewe ni miongoni mwa wale vijana wa chuo cha chap chap mlioandamana kumpongeza rais kwa uteuzi wa mawaziri.hivi nanyie payrol yenu haijaasirika kama watumishi wa umma?
 

kuwa na huruma wewe unafikiri bila fuso hapo nape angekaa na nani?
 

''kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli''.

Ndugu Greenstar,tambua kuwa Nape si mh.!!!Right? bila shaka umenipata!
 
nape anatamani akunje ngumi, kunyoosha mikono juu anamaanisha nini? masikini ya Mungu anataabika huyu jamaa, ubongo wake unafanana na mwili wake
 
Ccm wameiteka songea toka kwa akina nani ? Hapo ni sawa sawa na mtu anapigana na kivuli chake .Ngoja Makamanda wafike maeneo hayo utaona mpambano wa ukweli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…