CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

hivi rai ni nini vile!.......... ahaa nimekumbuka nigazetiiiiii, giving bado lipo.
 

heheeeee....nyooo endelea baba meru united imeichapa barca mzee hapo sasa kule hamna wanyaturu wapuzi kama wa jimbo lako
 
wanadharirisha taaluma kwa kweli. kama utafiti ulifanywa na Lusinde hapo hakuna shaka.
 

Sijui kaka Mwigulu una hali gani huko uliko leo ha hasa ukisoma hii sredi yako
 

Bwana Mwigulu Nchemba, bado unaweza kurudia hayo maneno tena? Tarehe kaka imefika na matokeo yametangazwa, au bado hujapata Taarifa?

Tulishtukia deal lenu, kupitia gazeti hili la ccm mlitaka kuanda mazingira ya kuiba kura, Chadema ikaona ifanye doria kwa Chopper ili waone kila kitu kinachoendelea huku chini, ikala kwenu, anyway, hizo ndio salamu zenu toka kwa Watanzania hapo 2015.
 
Asante kwa tafiti ila matokeo umeyaona......nadhani ungeita kampeni..
 

Really?????????????Barcelona na Meru Utd sio?mshindi anakuwa nani Barcelona au Meru Utd?
 
Yaani Mwigulu wewe ni sifuri aisee kwa kufikiria!!!! AYA SASA CDM WAMESHINDA SIJUI UTASEMAJE!!! WEWE KUWA MBUNGE WA SINGIDA KULE SHAMBA NDO AONA UMEFIKA SIO!! MBONA MWISHO WAKO NA WEWE UNAKUJA VERY SOON! ACHA KUFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI KIJANA!!!!!!!!!!!
 
Hili gazeti sitasoma hata heading zake....nyambafu...ugumu wa maisha yetu watz ni matokeo ya siasa-ulafi za ccm..
 
Siku ya kwanza ya juma asubuhi na mapema, jogoo akawika, chadema kura 32,0000 na wale wafuasi wa chadema 22000 walitokea wapi?
 
Vipi toleo la leo la Rai linasemaje baada ya matokeo ya Arumeru?
 
Mbona unaongea pumba ndugu maana kichwa cha habari na yaliomo ndani ni tofauti tupu?:heh:
 
Mbona unaongea pumba ndugu maana kichwa cha habari na yaliomo ndani ni tofauti tupu?:heh:

Mkuu wangu kuwa makini.Hiyo ni habari ya gazeti ya wiki 2 kabla ya uchaguzi wa Arumeru
 
Rai nalo ni gazeti siku hizi?Tangu linunuliwe na kuweka mfukoni.Nalifananisha na kopo la ....ni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…