CCM yaiponza Ndanda FC


Ndoto??????? hebu eleza hawa hapa wanafanya nini kama sio kujikomba wakidhalilika watu wazima hovyo kabisa

 
Ndoto??????? hebu eleza hawa hapa wanafanya nini kama sio kujikomba wakidhalilika watu wazima hovyo kabisa

Mkuu , Hayati Balali
Nimecheka bado kidogo nimwage heineken yangu !
 
muulizeni marlaw yule aliyeimba pipipipipi baada ya kupigia debe ccm kapotea jamii noma mwambie liatonga aitishe mkutano hapati hata watu arobaini
 
nipo vizuri na jamii na ccm yangu sina dhiki kama za mtoa post

Kweli bwana uko vizuri! naona hapo unapata zako KIPUPWE cha MAGOGONI! hongera sana!
 

Attachments

  • 1414848647276.jpg
    22.1 KB · Views: 144
Kosa kubwa walilolifanya magamba ni pale Hawa Ghasia alipojipendekeza awe mgeni rasmi siku na mechi ya Mgambo shooting akijifanya anakabidhi gari Wamakonde/WanaMtwara wengi walitojka uwanjani hata mpira haujaanza na Nanda FC ilichezea 3 -1.Hawa Ghasia hatakiwi hata kidogo Mtwara na akionekna anakuwa na ulinzi kama wa Rais wanaogopa watamgawana
 

MUNGU awalinde sana ndugu wananchi .
 

Kwahiyo Mkuu THE BIG SHOW unahibtisha tetesi zangu?
 
Last edited by a moderator:
Hilo nililijua mapema sana , siku hizi mambo yamebadilika sana , ukitaka kuwa adui wa wananchi jiambatanishe na ccm ! Hali hii ndio iliua kabisa bendi ya TOT .

Hivi CCM hawakuweza kuwasomba mashabiki kwa malori?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…